Maswali yalioninyima usingizi nilipokua mtoto

Maswali yalioninyima usingizi nilipokua mtoto

Kuna baadhi ya mambo yalinifanya niumize akili enzi za uto to
1- mtu akivaa overall (kanyela mumo) anakunyaje?
2-mama akienda kujifungua, je mototo hupitia wapi kutoka tumboni?
3-baba na mama, walizalia pamoja?
4-mwalimu ndie mtu mwenye akili kuliko watu wote?
5-rais ndie mwenye nchi?

Ongezea maswali yalio kutatiza utoton

Hukuwahi kujiuliza pesa inapatikana wapi
 
na ccm ni nafasi hizo tu eeeh, makamo mwenyekiti bara pwani?, katibu mwenezi bara pwani? kurugenzi nyengine zote ndani ya ccm pwani? jumuiya za chama ya vijana wanawake na watu wazima ? pwani

huachi wewe?

suala la kuzungumzia katiba masuala ya zanzibar na bara vyama vyote viko hivyo kwa sababu hii ni jamhuri ya muungano wa bara na zanzibar, hata cCUF iko hivyo na nnategemea hivyo kote njoo na hoja nyengine

Pesa haikua kitu cha ajabu kwangu enzi hizo
 
nilipokuwa mdogo nilimwambia mom akaniokotee mdogo wangu baharini akawa ananizungusha tu(mi wa mwisho)
2 mbinguni kupoje je kuna nyumba na watu wanaoishi huko
3 nilimwambia mom kwanini asimbadili kaka angu mmoja kuwa dada nina kaka sita afu sina dada kakaangu nilieombwa abadilishwe kuwa dada alinipigaje tena ndo alikuwa anabalehe kipindi hicho mimi nilikuwa la kwanza lol

hilo #2 umeshapata jibu..
 
Mimi sikuwahi kuwa na maswali yasiyo na jibu. Nikijiuliza swali natengeneza na jibu hapo hapo. Nilikuwa najua for sure mimba inapatikana baharini, chini ya mnazi. Mwanamke anasimama anaegemea mnazi, halafu mume anamshika tumbo anamuambia uwe na mimba ya mtoto wa kike. Afu wanarudi nyumbani (sikujua kama kuna kufanya 'matusi')

"Kufanya matusi" am rolling hahahaha
 
Mi nilikua nikiona mgonjwa ana badenji natoka ndukiiii

Nilikua nikiumwa sipendii kujuliwa halii yaan sipend kuulizwa ( unaendeleaje,vipi hali yako?? Wakija wageni najificha lo
 
1.mimi nilijiuliza saana kuhusu kioo,nilidhani ni watu 2 sasa nikigusa upande wa nyuma wa kioo nakuta hewa tu.2. kwa nini baba analala na mama tu3. Mbinguni kuna raha,nilikua najiuliza raha hiyo ni zaidi ya kucheza sundayschool, au kula pilau

Hiyo namba mbili hata mwanangu huwa inamsumbua sana. Huwa ananiomba sana kulala naye, sasa siku moja akang'ang'ania kweli - mumy may I sleep with you" si unajua tena watoto wa english medium. Nikamwambia no baby you are now too big to sleep with me. Basi akashangaa akaniuliza - but why dady is too big than me but he is sleeping with you everyday. sikumbuki hata nilimjibu nini.
 
Utoto shida et zamani ukiweka sindano au wembe kwenye njia ya treni, tren inaanguka..ila baadaye ikawekewa sumaku ya kuvuta sindano na nyembe!!

Hii tulikuwa tunadanganyana sana aagh hivi sijui nani alianzisha!! Nimeamini sana hiyo kitu enzi zile
 
siku moja nikiwa na mama mahali kwa rafk ake,kukawa na dalili ya mvua,mama akanambia kimbia nyumban mvua inakuja,basi nikaanza kukimbia,sijafika home mvua ikaanza,sasa on way to home kukawa na kidimbwi cha maji barabarani nilipofika pale kuchungulia hv nikaona ina reflect anga,so mi nikajua ni shimo reeeeeeeeeefu saaaana,basi nikawa nalia tu pale nimeshindwa kuvuka,mama kufika nikaona anaingia tu heeeeeeeh nilipigwa butwaa mbona hazami? hadi leo huwa nacheka tu nikikumbuka
 
siku moja nikiwa na mama mahali kwa rafk ake,kukawa na dalili ya mvua,mama akanambia kimbia nyumban mvua inakuja,basi nikaanza kukimbia,sijafika home mvua ikaanza,sasa on way to home kukawa na kidimbwi cha maji barabarani nilipofika pale kuchungulia hv nikaona ina reflect anga,so mi nikajua ni shimo reeeeeeeeeefu saaaana,basi nikawa nalia tu pale nimeshindwa kuvuka,mama kufika nikaona anaingia tu heeeeeeeh nilipigwa butwaa mbona hazami? hadi leo huwa nacheka tu nikikumbuka

ha ha ha mkuu ulitisha aisee!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom