mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,495
Ndani ya redio, nani anakuwemo kutoa sauti?
ahahahahahahhahahMi nlikua najiuliza watu wanoonekana kwenye tv wanapitia wapi? Mana tv ndogo lkn watu teleee
Siku moja nlimuuliza mama mtoto anazaliwa vp akanambia anatolewa mdomoni.
Hili swali linawasumbua sana watoto maana mtoto wangu wa mwaka mmoja kila siku anazunguka nyuma ya tv anatafuta watu wanaoonekana kwenye tv anadhani wako nyuma.Ndani ya redio, nani anakuwemo kutoa sauti?
Inakuaje baba na mama wanaendelea kuichagua ccm wakati haijawapatia huduma zozote za msingi..?
Kwa nini baba ananipeleka kusoma nje inamaana wanaosoma uku hawaelewi.?
Mi nlikua najiuliza watu wanoonekana kwenye tv wanapitia wapi? Mana tv ndogo lkn watu teleee
Siku moja nlimuuliza mama mtoto anazaliwa vp akanambia anatolewa mdomoni.
inaonekana wewe 20+ lakini bado ni mtoto! teh!Inakuaje baba na mama wanaendelea kuichagua ccm wakati haijawapatia huduma zozote za msingi..?
Kwa nini baba ananipeleka kusoma nje inamaana wanaosoma uku hawaelewi.?
Hili swali linawasumbua sana watoto maana mtoto wangu wa mwaka mmoja kila siku anazunguka nyuma ya tv anatafuta watu wanaoonekana kwenye tv anadhani wako nyuma.