Maswali ya interview walioitwa NSSF

Maswali ya interview walioitwa NSSF

Tuambie bas wewe unavyoelewa Mkuu

Ila hio Posdcorb ni function za manager sema ni kama herufi inayokufanya usizisahau,p- planning,o - organizing,s- staffing kama hivo na kuendelea

operation manager ambae hua anapatikana ktk low level kwny management kazi yake ni kudeal na operating functions ambazo zinakua ni zile activities zinazoensure smooth operation Na zina increase efficiency ya day to day activities na huyu ndie anadeal zaid na watu ambapo katika social security operation officer anafanya hizo kazi Pia ikiwemo kufanya inspection kama member wamelipa michango,kuadminister benefit nk

Hizo function za operation officer ukizichambua zinafit zote katika hizo za manager mfno kazi moja ya manager ni reporting ,operation officer pia anafanya hio kazi anagenerate report kukeep wale ambao uko responsible kwao na staff wa kawaida waelewe nn kinachoendelea

sizani kama kuna utofauti kati ya operation manager na officer nisahihishe kama kuna kitu nimekosea

nadhani ipo kwenye kutoa maamuzi.
 
Hata me nashangaa...jaman tuachane na mambo ya udini kama ni ridhiki ya mtu kupata atapata tu no matter what...mambo ya dini tuwekeni kando tudiscuss kuhusu hcho cha jumamosi
 
Naomba kuuliza plz...kuna watu nimeckia wamepangiwa interview mchana na wengne sie asubuh na kuna wengine nimesikia aty wamepangiwa siku nyingine tofauti na tar.13...ss swali ni hili inawezekana kweli tuloitwa asubuh ndo wale tulosomea mambo ya public adminstration au human resource?cz ktk list ya frendz zang wte tuloitwa pale tumesoma ktu kimoja na tumepangiwa asubuh...bt kuna mmoja kasoma law amenambia yy kaambiwa mchana...so dnt u think kuwa wanapanga watu kulingana na walichosoma??f so hamfikirii kuwa wanaweza wakaleta maswali ambayo yanahusu proffessional zetu tulizosomea??n' idea plz...hvyo ndo me nlikaa nikafikiria bt am not sure
 
Mmmh czani ashreybbz coz niloitwa nao wengi walimu me sio Mwl...ila nahisi Maswali yatakuwa ni ya kutesti IQ
 
You are among the folks who have minds with limited only to knowledge of factless so they can hardly go beyond that factless knowledge as to reach to the knowledge of real facts and its consequence.

Hivi nikisema baadhi ya MAKAFIRI mna chuki kiasi kwamba mnawadhuru mpaka wenzenu nitakuwa nimekosea??

Mtoa mada ni Mkristo mwenzako, ameitwa katika interview, anahitaji mbinu za kukabiliana na interview mwisho wa siku apate nafasi, iwe faida kwake na kwa jamii yake.

Wewe ndio kwanza unamjengea khofu, na kumfanya ajione hawezi na hatoweza.

Sasa hapo umemsaidia mwenzako au umemuangamiza.

Common and inferior minds always are the source of troubles in any human society, this scenario can be taken as a proof.

Acha kuita wenzako makafiri wewe... Halafu unatumia lugha ya kiingereza ambayo ni ya makafiri. Hivi mbna nyie ndugu hamuna akili kiasi hicho??? Mimi nadhani kama wewe ni muisilamu sana basi usitumie kiingereza tujue moja
 
Jamani kwa wale wadau ambao tumeitwa interview NSSF mwenye idea ya maswali yanayoulizwa kwenye iyo interview tuje tudiscuss hapa,au kama unakumbuka position description tupeane hapa,..najua maswali hayatakua exactly like here but tupeane ideas alafu at the end of the day kwenye mtihani unachanganya na akili zako za kuzaliwa ,haimaaninishi kama ukuleta idea hapa tutakuzidi au tutakupita najua kila mtu ata gain na kupata kitu kipya. karibuni waDAU WAPENDWA

Mimi naomba kuuliza , eti unaweza kuchaguliwa tu hata kama bado hauna gamba? I mean cheti cha chuo. Maana kuna ndugu yangu kaitwa ila ndio kamaliza chuo mwaka huu yeye ana transcript tu?
 
Acha kuita wenzako makafiri wewe... Halafu unatumia lugha ya kiingereza ambayo ni ya makafiri. Hivi mbna nyie ndugu hamuna akili kiasi hicho??? Mimi nadhani kama wewe ni muisilamu sana basi usitumie kiingereza tujue moja

You seems to be among of them (those with common and unregenerating minds).

So I can't urgue with you any more.
Kwaheri bwa mdogo.
 
You seems to be among of them (those with common and unregenerating minds).

So I can't urgue with you any more.
Kwaheri bwa mdogo.

Sawa dj nimekuelewa. Ila kiingereza chako ni broken sana , ulisoma wapi ww ??? Au ndio mambo ya big result now haya?
 
jamen kuna mtu yoyote kapigiwa simu leo kutoka nssf kufahamishwa kuwa kabadilishiwa serial number yake ya pepa??plz nijibun maana me nimepigiwa cm nimepewa serial kpya aty ile ya kwenye email niachane nayo....dnt knw f tz true or not...so n'body alopigiwa plz roho yangu itulie
 
mm cjapata email so i will to go to the hq kuulizia before the interview na wengine ambao hawajapata email ntawapa feedbck
 
Ivi hizo nafasi zenyewe za operation officers ni ngapi zinazoshindaniwa wadau naombeni ji u
 
Naomba kuuliza plz...kuna watu nimeckia wamepangiwa interview mchana na wengne sie asubuh na kuna wengine nimesikia aty wamepangiwa siku nyingine tofauti na tar.13...ss swali ni hili inawezekana kweli tuloitwa asubuh ndo wale tulosomea mambo ya public adminstration au human resource?cz ktk list ya frendz zang wte tuloitwa pale tumesoma ktu kimoja na tumepangiwa asubuh...bt kuna mmoja kasoma law amenambia yy kaambiwa mchana...so dnt u think kuwa wanapanga watu kulingana na walichosoma??f so hamfikirii kuwa wanaweza wakaleta maswali ambayo yanahusu proffessional zetu tulizosomea??n' idea plz...hvyo ndo me nlikaa nikafikiria bt am not sure

Kaka sidhani kama ipo hivo maana kuna wengi walosoma engineering wamepangwa asubuhi whom I know. Sidhani kama wanaweza fanya style hio kila watu wapewe eneo lao la specialization coz kuna watu wa cadre mbali mbali.
 
Ni kweli hata mimi nimepangwa asubuhi na nimesoma BAF..so hakuna uhusiano wowote juu ya hill.
 
jamen kuna mtu yoyote kapigiwa simu leo kutoka nssf kufahamishwa kuwa kabadilishiwa serial number yake ya pepa??plz nijibun maana me nimepigiwa cm nimepewa serial kpya aty ile ya kwenye email niachane nayo....dnt knw f tz true or not...so n'body alopigiwa plz roho yangu itulie

Mdau ni kweli hiyo kitu hata me pia nimepigiwa simu leo jumanne kuwa namba yangu ya siri imebadirika
 
Back
Top Bottom