kalemauji
JF-Expert Member
- Jun 24, 2014
- 1,620
- 1,831
Ni kweli hata mimi nimepangwa asubuhi na nimesoma BAF..so hakuna uhusiano wowote juu ya hill.
Me nimesoma accounting nimepangiwa saa tisa alasiri
Ni kweli hata mimi nimepangwa asubuhi na nimesoma BAF..so hakuna uhusiano wowote juu ya hill.
jamen kuna mtu yoyote kapigiwa simu leo kutoka nssf kufahamishwa kuwa kabadilishiwa serial number yake ya pepa??plz nijibun maana me nimepigiwa cm nimepewa serial kpya aty ile ya kwenye email niachane nayo....dnt knw f tz true or not...so n'body alopigiwa plz roho yangu itulie
Ila kesho nimepanga niende pale NSSF HQ nikapate ufafanuzi zaidi. Nitakuja na mrejesho kwa hili wadau..
Ok mdau tunakutegemea kwani hata mimi mwenyewe nimepigiwa simu muda huu
Hata mm nimepigiwa kwa namba hii: 0764 140 033. Leo mida ya mchana. Kanambia muda wangu wa interview na serial number imebadilika. Dah,hapa nilipo nipo njia panda jamani. Najiuliza je ni kweli hii call imetoka HR-NSSF au ni mambo ya phishing hayo.
Ila kesho nimepanga niende pale NSSF HQ nikapate ufafanuzi zaidi. Nitakuja na mrejesho kwa hili wadau..
Inshalah tuombe uzima na kupewa ushirikiano wa kuridhisha toka kwa HR-Dept staffs.
hta mm naenda nipate habari kamili.
Naomba kuuliza plz...kuna watu nimeckia wamepangiwa interview mchana na wengne sie asubuh na kuna wengine nimesikia aty wamepangiwa siku nyingine tofauti na tar.13...ss swali ni hili inawezekana kweli tuloitwa asubuh ndo wale tulosomea mambo ya public adminstration au human resource?cz ktk list ya frendz zang wte tuloitwa pale tumesoma ktu kimoja na tumepangiwa asubuh...bt kuna mmoja kasoma law amenambia yy kaambiwa mchana...so dnt u think kuwa wanapanga watu kulingana na walichosoma??f so hamfikirii kuwa wanaweza wakaleta maswali ambayo yanahusu proffessional zetu tulizosomea??n' idea plz...hvyo ndo me nlikaa nikafikiria bt am not sure
Jaman me ndo imekula kwang cjapata msg wala email
inafanyika lini na venue gani hiyo interviewJamani kwa wale wadau ambao tumeitwa interview NSSF mwenye idea ya maswali yanayoulizwa kwenye iyo interview tuje tudiscuss hapa,au kama unakumbuka position description tupeane hapa,..najua maswali hayatakua exactly like here but tupeane ideas alafu at the end of the day kwenye mtihani unachanganya na akili zako za kuzaliwa ,haimaaninishi kama ukuleta idea hapa tutakuzidi au tutakupita najua kila mtu ata gain na kupata kitu kipya. karibuni waDAU WAPENDWA