SENZANGAKONA
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 279
- 215
Wakuu wale walopangiwa saa sita wapo?
Mimi sikutumiwa email wala sms ila juzi j3 walinipigia mida ya saa moja jioni wakaniambia saa sita na serial number nimepewa. Me nimesoma Public Administration vp ww umesoma hiyohiyo?