Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

Naanza kwa maswali yafuatayo!Kwa kawaida mkaguzi msaidizi ni lazima aende jeshini? ni kwa muda gani na anapokuwa jeshini analipwa mshahara? Majibu wakuu pia mwenye maswali zaidi uliza
 
lazima afanyiwe vipimo na aende depo, depo ni miezi tisa au mwaka mmoja. ukiwa depo ama jeshini kama unavyoita hupewi mshahara Bali unapewa posho kila mwisho wa Mwezi
 
Mimi Nina passport ya East Africa je naweza safiria kwenda msumbiji ?
 
Mimi Nina passport ya East Africa je naweza safiria kwenda msumbiji ?

Msumbiji ipo kwenye umoja wa africa mashariki? nadhani si mwanachama automatically pasport yako haitumiki...hiyo nenda nayo kenya..uganda..rwanda....drc
 
vizur sana kwa ufafanuz,vp posho zao ni kias gan hutoa
 
Mimi Nina passport ya East Africa je naweza safiria kwenda msumbiji ?

watu wote wanaotakiwa kuingia Mozambique lazima wawe na visa pamoja na passports kasoro raia wa nchi hizi Swaziland, south Africa, Tanzania, Botswana, Malawi, Mauritius, Zambia na Zimbabwe.

Msumbiji haipo East Africa, tumia passport ya Tanzania kama wewe ni Mtanzania hutohitaji visa
 
kule jeshini au depo ni nn hasa kinafundishwa hasa kuhusu wakaguzi uhamiaji! Bado hawajaita kuna mdau alisema baada ya wiki kesho mambo yatakuwa hadharani
 
kule jeshini au depo ni nn hasa kinafundishwa hasa kuhusu wakaguzi uhamiaji! Bado hawajaita kuna mdau alisema baada ya wiki kesho mambo yatakuwa hadharani

depo kuna kufanya mazoezi ya mwili na kuingia darasani kufundishwa juu ya masuala ya uhamiaji
 
Back
Top Bottom