Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

kwa wanaenda jkt wanalipia kulala na kula? kule ni kujitolea ukimaliza mafunzo miez tisa au mwaka kama n jkt unaenda kwnye vituo vy malezi vya jeshi huko ndio unasubir ajira. ila ninachojua mm na kuwa na uwakika nacho kwa sasa wapewa hiyo amount tu kwa mwezi.
 
Kuna likizo?maana mwaka mzima si padogo ati
 
Duh kweli vijana tunateseka na kusubiri ajira. Mnavyojadili utadhan ndo tayar mshaitwa huko uhamiaji. Majina yenu yasipotokaje?
 
kijana vipi mbona unakomaa sana na likizo vipi utam-miss sana mama yoyooo...!! ndio kutafuta huko mkuu co mbaya hata kama hakuna likizo, ila uhamiaji wao ni miezi 6 depo pale CCP.

zingatia tangazo lao la kazi limesema; selected applicants for the posts must attend a one year Basic Immigration Course prior to employment.
kazi kwako comrade
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom