Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

Ni kwa nafasi zipi Hapa Mkaguzi msaidizi au vp,hebu fafanua hapo kamanda

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
poa ngoja tuvute subira

ndo tupo hatua za mwisho ndugu zangu ila lazma mjiandae vzuri katika written interview ili uweze kuingia kwenye mchakato wa oral interview hatutakua na batch tatu km mwenzangu alivosema hapo juu,pia hatutashort list kwa upendeleo
asanteni
 
Wakuu,hao wenzangu waliotangulia hapo juu Ndugu Balozi wa Dodoma na Ndugu Shigelele hao ni Vishoka wa Uhamiaji,ni kweli walikuwa ni wafanyakazi wetu but tuliwafukuza kwa deal zao za kuingiza Wasomali Nchi kimagendo,so taarifa wanazotoa ni potofu,taafifa kamili na sahihi mtapata kwa njia ile ile iliyotumika mwanzoni wakati wa utangazaji wa tangazo la kazi.Ahsanteni Sana.
 
Hahahaha....mkuu you made my day
 
Frank wanjiru works at DHL and studied at UDSM
 
Mkuu vuta subira
tarehe 21 mwezi
wa 4 Batch ya kwanza inatoka.

Wiki ya pili ya tarehe 28 inatoka batch ya pili

wiki ya tatu ya tarehe 7 mwezi wa 5 inatoka ya Tatu

aisee mkuu ahsante sana kwa taarifa!!

tuombe MOLA atusaidie tupite..
 
Wadau niaje natumai mpo pouwer , sasa hao jkt si washaenda kuripoti kambini kuanzia tar3 nmeona kuna mdau anasema karibuni wanaenda kuripoti? na uhamiaji vp mana tumeomba watu lakini hatujua huwa wanatumia mda gani kuanza usaili na kuwapeleka watu kambini...
 
Na mwezi wa6 nasikia wanachukua hawamu nyingine ya jkt nkweli tujuzane kwa ambae anafaham
 
Wakuu,hao wenzangu waliotangulia hapo juu Ndugu Balozi wa Dodoma na Ndugu Shigelele hao ni Vishoka wa Uhamiaji,ni kweli walikuwa ni wafanyakazi wetu but tuliwafukuza kwa deal zao za kuingiza Wasomali Nchi kimagendo,so taarifa wanazotoa ni potofu,taafifa kamili na sahihi mtapata kwa njia ile ile iliyotumika mwanzoni wakati wa utangazaji wa tangazo la kazi.Ahsanteni Sana.

acha ujinga ww
JF ni home of Updates
 
Yaani mnawafukuza tu na sio kuwapeleka mahakamani?
 
Na mwezi wa6 nasikia wanachukua hawamu nyingine ya jkt nkweli tujuzane kwa ambae anafaham

Kwa Mujibu Wa Chanzo Cha Ndani Cha Habari Kutoka Kawe Dsm
Ni kweli
Mwezi wa 6,JKT watachukua vijana wa Kidato cha nne na sita
wenye umri kati ya miaka 23/25
wenye pass mark za div 1,2 na 3
kwa form four
 
Samahani wadau wana JF.

Nilisikia kuwa mpaka tarehe 21 mwezi huu uhamiaji wangekuwa ameanza kutoa majina (shortlist) lakini naona kimya au ni mimi tu ndo sijui?

Msaada please.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom