Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

Tunashukuru kwa juutarehe zenu endeleeni kutujuza zaidi
 
nipeni abari wakuu niliomba uhamiaji vip ndo tumechinjiwa bahari au
 
Hivi kwanini siku hizi kuitwa kwenye usahili waajiri wengi hutoa taarifa kwenye magazeti au kwenye mitandao badala ya kupiga simu au kuwatumia barua...Nimesikitishwa na jamaa yangu alikuwa kijijini jina lake lilitoka kwenye usahili lakini taarifa alizipata kupitia mtu mwingine mwezi mmoja baada ya usahili... HIVYO alikosa fursa ya kuhudhuria usahili na alkadharika kukosa kazi
 
technology mkuu.
 
Wanaohitaji kazi ni wengi sana so usipokuwa mfatiliaji imekula kwako,hawana time ya kupigia watu 1000 kuja intavyuu
 
nipeni abari wakuu niliomba uhamiaji vip ndo tumechinjiwa bahari au
Uwe na subra mchakato wa kupata wenye sifa unaendelea juzi tu jamani toka maombi kupokelewa!!!
 
Back
Top Bottom