Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,762
- 8,013
na iwe hvo coz bado namalizia jiwe kwanza na nimeapply kwa fo6
Asante mkuu kwa taarifa
Depo la uhamiaji ni jkt ruvu na sio kiwira wala ccp
na iwe hvo coz bado namalizia jiwe kwanza na nimeapply kwa fo6
inakuwaje wa2 wanazungumzia ratiba wkt hata shortlist bado? kuwen na subira vijanaApplication 14/02 to 27/02Shortlist release may first weekInterview JuneGood day brothers
Application 14/02 to 27/02
Shortlist release may first week
Interview June
Good day brothers
Mkuu vuta subira
tarehe 21 mwezi
wa 4 Batch ya kwanza inatoka.
Wiki ya pili ya tarehe 28 inatoka batch ya pili
wiki ya tatu ya tarehe 7 mwezi wa 5 inatoka ya Tatu
Source please???
Ofisa Mkaguzi ofisi ya uhamiaji
(na hifadhi jina lake,na kituo chake cha kazi,ila ni Dar es salam)