Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

hapan mkuu we vuta subila,vitu vitawekwa hadharan siku si nying
 
msijali, shortlist inavuja muda si mrefu!

si mnaijua nchi yetu lakini?

mfagiaji ana access kwenye database ya HR manager.
 
lazima mfamyiwe usail hata kam ww ni mjeda usail hua haubagui,kaa ukijua hivyo mkuu
 
ulikua wapi ww interview tayari watu wanasubiri kuondoka depo
 
Nasikia yametoka, jina langu michael p george. Website yao inazingua, tafadhal msaada
 
nashukuru mjadala huu umeishia hapa leo hivyo basi nawaomba msichangie tena hadi hapo tutakapotangaza majina yenu baada ya mei mosi kwa sasa tunajianda kwa ajili ya gwaride la muungano na sherehe ya wafanyakazi. naomba mtulie kwa maana njia uliyopitia kupata tangazo ndio njia utakayopitia kupata taarifa za usaili.
nakutakia heri ya mei mosi na maandalizi mema ya kupata ama kukosa.
 
Back
Top Bottom