Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

Nataka kwenda nchi ya Zanzibar vipi nahitaji hati ya kusafiria, nipo tabora...?
Ahsanten uhamiaji
 
kwa mdau aliyesema ni tarehe 21.4.2014 mbona kimya sasa
 
Hao ndo wabongo unao wasikia,wanakua kama wao ndo wanapanga,tuvumilie mpaka hatima yake tujue ikoje
 
Tatizo watu mmejaadharau,ila mjue humu jf wamejaa watu kibao hadi usalama wa taifa wanashinda humu kupata data zao[/QUOTE

Leo ndo umejua kama usalama wanashinda na kukesha hapa jamii forum??
Kama ulikua hujui hata CIA wapo!!!

Usalama wa taifa na post za uhamiaji zinahusiana ninii?

Wewe ndo umeanza kujiradhau kwa kutoa post za kudanganya watu!!
 
Habari wanajf,niko ofisini sahivi tunaendelea na zoezi la kupitia maombi yenu wale waliomba konstebo na koplo tupia jina lako nikujuze

Ni kweli umejidharau sana! Mtu mwenye makende mawili hawezi danganya like this,otherwise Serengeti iwe inamhusu!!

Watu wako serious na maisha wewe unaleta ujinga!! Kama hujitambui,na umechoka na maisha kaa kimya!
 
Ubishi na maneno mengi navyo vipaji watu wamejaaliwa,lakini ukweli ni huo tupeni muda kazi ni ngumu kupitia maombi zaidi ya laki ya watu zaidi
 
Ubishi na maneno mengi navyo vipaji watu wamejaaliwa,lakini ukweli ni huo tupeni muda kazi ni ngumu kupitia maombi zaidi ya laki ya watu zaidi

Mbona unajichanganya? Mara majina tayari mara bado unafanya shortlist hujielewi wewe

Unaposema upo ofisini tupia jina lako nikuchekie ndo ctl tukupe mda wa kuchambua majina ni mengi kuna appction zaidi ya laki??

Narudia kusema"Serengeti inakuhusu" tulia kijana watu wana access hapo uhamiaji! Kwanza ndo wanafanya shortlist ya majina!! Sasa wewe unayetoa web ya uhamiaji eti tucheki majina yametoka una maana gani??
 
Fatilia post zangu kama utaona neno majina yametoka nimeandika all the time nasema tupeni muda vijana
 
Mbona unajichanganya? Mara majina tayari mara bado unafanya shortlist hujielewi wewe

Unaposema upo ofisini tupia jina lako nikuchekie ndo ctl tukupe mda wa kuchambua majina ni mengi kuna appction zaidi ya laki??

Narudia kusema"Serengeti inakuhusu" tulia kijana watu wana access hapo uhamiaji! Kwanza ndo wanafanya shortlist ya majina!! Sasa wewe unayetoa web ya uhamiaji eti tucheki majina yametoka una maana gani??

Kijana unamhemko sana tulia kwanza subili walio depo waludi ndo utajua nani ameitwa kwenye usaili na nani kaachwa
 
BARozi wa Dodoma...vipi kiongozi upo poa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom