Mtendaji wa kaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 334
- 60
Mjadala uendeleenashukuru mjadala huu umeishia hapa leo hivyo basi nawaomba msichangie tena hadi hapo tutakapotangaza majina yenu baada ya mei mosi kwa sasa tunajianda kwa ajili ya gwaride la muungano na sherehe ya wafanyakazi. naomba mtulie kwa maana njia uliyopitia kupata tangazo ndio njia utakayopitia kupata taarifa za usaili.
nakutakia heri ya mei mosi na maandalizi mema ya kupata ama kukosa.