Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

Iv hawa jamaa wamegoma kutoa shortlist?

watabiri walisema jana au leo , lakini hadi sasa hamna kitu hapa sasa naanza kuamini kuwa kuwa watu wamedanganywa na wamekwisha liwa pesa zao na vishoka wa uhamiaji. hadi sasa siwaoni jamvini kuchangia wametoka ndukiii. hapa cha msingi mwana we tulia kama una hukakika una sifa jiandae kujieleza kwenye meza ya usaili,

poa nitarudi baadae COPLO WANGU
 
Vipimo kabla hujaenda depo au mnaweza pimwa kulekule depo na vipimo ni kabla hamjafungua Kozi.

magonjwa kwa uchache ni UKIMWI, magonjwa ya moyo, pressure, kama umefanyiwa operation ambayo inaweza kukusumbua kipindi cha kozi, tatoo n.k
Ndiyo maana kunakuwa na kundi la akiba kwa uhamiaji.

nasikia kuna ile ya kuchojoa nguo zote ili wacheki kipenyo kama ni diameter au radius je hata uhamihaji ipo au jeshini tu, na lengo lao hasa ni nini. na mnachojoa mbele ya mademu au mnatenganishwa du maana mimi nikikiona tu kimwajuma balaa kama mjelajela
 
Wanawake sehemu yao na wanaume sehemu yao. ukiwa shoga hutaweza kufanya baadhi ya mazoezi utaishia kuaibika.
 
Jamani hv kwenye app kulikuwa na ulazima wa kuweka leaving certificate? tangazo la kiswahili halisemi hivyo tangazo la kiingereza linasema hivyo, sasa tuliofuata la kiswahili hatukuweka ila nadhani waliofuata la kiingereza waliweka.
Nauliza jamani hiv hapa nn kitafanyika
 
Last edited by a moderator:
kwani afisa mkaguzi akiwa kazini lazima avae uniform au pamba za kiraia tu, maana ile minyotanyota alfu mishiko hamna kweli haina mvuto
 
leaving certificate ni lazima kwa idara yoyote ya ulinzi na usalama, hii inaonyesha ni mara yako ya kwanza kuomba kazi idara hizi mimi mwenzako nimerukia sana mikuki ya kichwa na zamu hii sijafanya makosa labda mkono wa mtu unibanie tena
 
ile minyota ndi issue ata ukiagiza nyama choma unaletewa fasta yaaan haikawii upulike mwagito@ sikauka
 
we mhapa c tukikuwa wote jkt operation utandawazi! yaan itakuwa marudio kwetu hii coz ya uhamiaji lazima niwakimbize michakachaka mijinyimbo na kykaba kitengo cha ukarani pale coy ya combania haaaaaaaaaaa
 
ile minyota ndi issue ata ukiagiza nyama choma unaletewa fasta yaaan haikawii upulike mwagito@ sikauka
una minyota alafu unaishi nyumba ya kupanga au unapewa kota yako nauliza maana huwa naamini maskini haishiwi ndoto
 
we mhapa c tukikuwa wote jkt operation utandawazi! yaan itakuwa marudio kwetu hii coz ya uhamiaji lazima niwakimbize michakachaka mijinyimbo na kykaba kitengo cha ukarani pale coy ya combania haaaaaaaaaaa

mimi sio uyo unayedhania ila anaweza kuwa ndugu yangu wa mafinga au mufindi ngoja nikupm maana watu wanakufa na kuzaliwa
 
Back
Top Bottom