SIKAUKA MHAPA
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 247
- 43
nadanganya au danganywa maana tangazo bado lipo kwa kiswahili na kiingereza sasa unakuwaje huoni suala sekondary/advanced leaving cert.

Vipimo kabla hujaenda depo au mnaweza pimwa kulekule depo na vipimo ni kabla hamjafungua Kozi.hapa nimepapenda, vipimo vya nini magonjwa au urefu na ufupi. samahani sitanii nauliza seriuos ndugu yangu, na je vipimo ivyo kabla ujaenda depo au ukiwa depo na kama wanapima magonjwa je ni magonjwa gani hayatakiwi?
kweli naanza kuamini kuwa watajitokeza manabii wa uongo leo trh 22/4/14 nasubiri batch ya kwanza mbona hailetwi au ndio hadithi zile zile hatarudi hatarudi

Hilo tangazo sio la mwaka huu coz nilirudi tovuti ya uhamiaji kujirishisha. Hakuna sharti la leaving certificates. Asante sana kwa dua njema. Mungu atatenda kwa mapenzi yake. Mzigo ninao kamili.
je albino wanaruhusiwa kuomba kazi izi za idara za usalama sababu sijawahi kuona polisi au mjeshi albino
usijipe myo kwenye hapana,leaving ni muhimu katika nch unayoish.
nadanganya au danganywa maana tangazo bado lipo kwa kiswahili na kiingereza sasa unakuwaje huoni suala sekondary/advanced leaving cert.
je albino wanaruhusiwa kuomba kazi izi za idara za usalama sababu sijawahi kuona polisi au mjeshi albino
vpi unaweza kuruhusiwa kwenda kule ukiwa na mimba
its is months, wala sio course ya certificate hiyo bana.Depo inawezekana ikawa moshi au mbeya! One year training!
vpi unaweza kuruhusiwa kwenda kule ukiwa na mimba
its is months, wala sio course ya certificate hiyo bana.