Maswali magumu yasiyojibika Duniani

Yellow bone

JF-Expert Member
Jun 13, 2017
256
329
Naanza na hili
1.je dunia hii tunayoishi ina mwanzo wake na mwisho?
?????je mwisho wake ni wapi na mwanzo wake ni wapi?maana kama tukienda kusini katufiki mwisho..na tukienda kaskazin hatutafika mwisho!!!

Kazi kwenu wadau...najua yapo maswali mengi sana,

endelezeni mengine...
 
Kuna mada pana sana zinahusiana na hii kitu humu ndani.Jaribu kutafuta

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Na kama watoto hukaa tumboni mwa mama mjamzito miezi 9,kwanini wanapozaliwa wasiwe na miezi tisa badala yake ndo kwanza anaanza siku ya kwanza????
wachina huanza kumwesabia mtoto umri tangu akiwa tumbon.so akizaliwa anakuwa na miezi 9 kuendelea.siye wengine huwa tunahesabia kuanzia anavyo zaliwa kwa sababu ndiyo anaanza kupambana kharaha zote za dunian.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Naanza na hili
1.je dunia hii tunayoishi ina mwanzo wake na mwisho?
?????je mwisho wake ni wapi na mwanzo wake ni wapi?maana kama tukienda kusini katufiki mwisho..na tukienda kaskazin hatutafika mwisho!!!

Kazi kwenu wadau...najua yapo maswali mengi sana,

endelezeni mengine...

Kama dunia Ni round ukiweka alama unapoanzia kwanini usiwe na mwisho
 
Dunia ina mwisho mkuu. Ukienda kusini utaishia south pole na ukienda kaskazini utaishia North pole .... cha muhimu ni kujua your starting point na how to navigate correctly, otherwise utazunguka milele....
 
Dunia haina mwisho...kwn huko south ukifika kuna shimo au unaelekea sehemu ingine ya dunia?

Sent from my Lenovo A6000 using JamiiForums mobile app
 
Naanza na hili
1.je dunia hii tunayoishi ina mwanzo wake na mwisho?
?????je mwisho wake ni wapi na mwanzo wake ni wapi?maana kama tukienda kusini katufiki mwisho..na tukienda kaskazin hatutafika mwisho!!!

Kazi kwenu wadau...najua yapo maswali mengi sana,

endelezeni mengine...
Umewahi kwenda na hukufika mwisho ? Kama hujawahi jaribu mwisho upo

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Naanza na hili
1.je dunia hii tunayoishi ina mwanzo wake na mwisho?
?????je mwisho wake ni wapi na mwanzo wake ni wapi?maana kama tukienda kusini katufiki mwisho..na tukienda kaskazin hatutafika mwisho!!!

Kazi kwenu wadau...najua yapo maswali mengi sana,

endelezeni mengine...
Wewe ulitarajia kufika mwisho upi?
Duania ni tufe na sisi tuko nje ya hilo tufe si ndani kama watu wengi wanavyofikiri. Sasa ukiwa nje ya tufe unachoweza kufanya ni kuzunguka na kutokea ulipoanzia safari lakini si kufika mwisho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom