Maswali magumu yasiyojibika Duniani

Maswali magumu yasiyojibika Duniani

Naanza na hili
1.je dunia hii tunayoishi ina mwanzo wake na mwisho?
?????je mwisho wake ni wapi na mwanzo wake ni wapi?maana kama tukienda kusini katufiki mwisho..na tukienda kaskazin hatutafika mwisho!!!

Kazi kwenu wadau...najua yapo maswali mengi sana,

endelezeni mengine...
Brother umewaz mbal sana na swali lingne na mm linanichanganya

"hivi juu ni wap? Kama dunia ni sphere na watu tupo njee ya dunia sasa juu ni wap"

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wewe ulitarajia kufika mwisho upi?
Duania ni tufe na sisi tuko nje ya hilo tufe si ndani kama watu wengi wanavyofikiri. Sasa ukiwa nje ya tufe unachoweza kufanya ni kuzunguka na kutokea ulipoanzia safari lakini si kufika mwisho
Dunia sio tufe.. dunia ni flat disc na inazungukwa na jua

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Dunia haina mwisho...kwn huko south ukifika kuna shimo au unaelekea sehemu ingine ya dunia?

Sent from my Lenovo A6000 using JamiiForums mobile app
Mkuu naona unajichanyanya vitu viwili hapa. Kwanza unaelewa vizuri maana ya mwisho ama? Ni elimu tu ambayo haina mwisho kwasababu kila siku kuna vipya vya kujifunza lakini with time naweza nkaizunguka dunia nzima na kuimaliza.

Ukifika South utakutana na baridi kali sana a.k.a Antarctica mkuu, na ukiendelea in a staight line utajikuta umeridi North.

Kwan mpira wa miguu hauna mwisho ama? It depends na point uliyoanzia na kumalizia. Bhaaaas!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwani mpira ule unao tumika kuchezea football ukipewa uonyeshe mwanzo wake na mwisho utaweza maana earth is round like ball

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Umewahi kwenda na hukufika mwisho ? Kama hujawahi jaribu mwisho upo

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Mkuu...hebu tuje tujaribu kutoka haoa tz twende kusini...ukifika kusin utaambia kuna kusin nyingine..daaaah
 
Mkuu nikuulize jingine...
Hivi kama mwanadamu ametokana na sokwe...mbona mpaka leo sokwe yupo???
sio kuwa tumetokana na sokwe hawa unaowaona kuna jamii ya sokwe ndio ilibadilika kuwa binadamu hata hawa sokwe tunafanana nao kwa zaidi ya 97%.
 
Na kama watoto hukaa tumboni mwa mama mjamzito miezi 9,kwanini wanapozaliwa wasiwe na miezi tisa badala yake ndo kwanza anaanza siku ya kwanza????
Unajua maana ya birthday? ila nadhani nchi kama China umri wa mtoto huanza kuhesabiwa tangu akiwa tumboni.
 
Naanza na hili
1.je dunia hii tunayoishi ina mwanzo wake na mwisho?
?????je mwisho wake ni wapi na mwanzo wake ni wapi?maana kama tukienda kusini katufiki mwisho..na tukienda kaskazin hatutafika mwisho!!!

Kazi kwenu wadau...najua yapo maswali mengi sana,

endelezeni mengine...

Mwanzo ni pale unapoanzia na mwiso ni pale ulipoanzia.
 
Simizi anachukua tone moja tu anatoka,anaingia mwingine anachukua tone moja tu anatoka. × muda wote
Hadithi isiyoisha
 
Inaonekana hauilewe evolution hata kidogo. Evolution takes about one millions years, Sisi kama Homo Sapiens we are only 200,000 years.
Wwana sayansi ni waongo sn tu..si ndy haoo waliosema mwaka 2000 mwisho Wa dunia?huwa siwaamini moja Kwa moja....jaribu kujiuliza...kama sisi asili yetu ni sokwe....mbona sokwe anazaa sokwe mwenzie Na sio binadamu?

Sent from my Lenovo A6000 using JamiiForums mobile app
 
Naanza na hili
1.je dunia hii tunayoishi ina mwanzo wake na mwisho?
?????je mwisho wake ni wapi na mwanzo wake ni wapi?maana kama tukienda kusini katufiki mwisho..na tukienda kaskazin hatutafika mwisho!!!

Kazi kwenu wadau...najua yapo maswali mengi sana,

endelezeni mengine...
Umewahi kujaribu

sent from my senderx9 lite using jamiiforums mobile app
 
Naanza na hili
1.je dunia hii tunayoishi ina mwanzo wake na mwisho?
?????je mwisho wake ni wapi na mwanzo wake ni wapi?maana kama tukienda kusini katufiki mwisho..na tukienda kaskazin hatutafika mwisho!!!

Kazi kwenu wadau...najua yapo maswali mengi sana,

endelezeni mengine...
Mkuu, dunia ni duara....unaweza kujua mwanzo wa duara ni wapi??? Au mwisho wa duara???
 
Okay mkuu...kwahiyo kama nikiweka point hapo tz...nikaenda kusini...je nitatokezea tz?
Utaenda kutokezea ncha ya kusini ambapo ndio mwanzo wa ncha ya kaskazini.....

Kwa maana hiyo utaendelea kwenda kusini tu mpaka utarudi Tanzania[emoji28][emoji28][emoji28]

Inashangaza....
 
Back
Top Bottom