Maswali magumu yasiyojibika Duniani

Maswali magumu yasiyojibika Duniani

Hakuna swali lisilojibika labda wewe huna jibu lake

fail to plan = plan to fail.
 
Moja: Kwa mujibu wa satellite zilizoweka angani na NASA zinaonesha dunia ni mduara... Kama dunia ni mduara inamanisha ukiwa unatembea juu ya mduara... point uliyoanzia ndiyo mwanzo na baada ya kuzunguka utarudi pale pale ulipoanzia, ndiyo mwisho...

Pili: Kama unazungumzia mwanzo na mwisho wa kuumbwa kwa dunia... jibu lake ni kila lilokuwa na mwanzo halikosi kuwa na mwisho..


cc: mahondaw
 
Kama Mungu aliumba ulimwengu, yeye alitoka wapi?
 
Naanza na hili
1.je dunia hii tunayoishi ina mwanzo wake na mwisho?
?????je mwisho wake ni wapi na mwanzo wake ni wapi?maana kama tukienda kusini katufiki mwisho..na tukienda kaskazin hatutafika mwisho!!!

Kazi kwenu wadau...najua yapo maswali mengi sana,

endelezeni mengine...
Haujui kam kuna revolution n rotation mkuu? Hivyo ndo vnavofanya usione mwsho wake ... Vcngekuepo ungeuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya mungu kuumba dunia aliwatengeneza watu wawili ambao ni Adamu na Hawa na ndiyo wakazaliana hadi dunia imejaa hivi ila sifahamu kama matabaka ya weupe na weusi yalipotokea nafikiri ila wale walikuwa ngozi nyeupe sisi tulikuwa manyani tu mnaogopa nini
 
Back
Top Bottom