Naona Rais anamwaga takwimu kama vile Maswali ya Tido alikuwa anayajua
kwanini usiyatume moja kwa moja..ila kama vipi tupe copySo kwenye hii thread tunatakiwa kuandika maswali yetu halafu yafowadiwe kwa raisi?
Hakuna Tivii zinazo stream matangazo laivu?
Halafu hivi hawa wana delay kweli? Maana asije akapiga simu kichaa akaanza kutumia lugha chafu....
Hehehehe...swali la bwana Zongo bana...Lol
Anaonekana kukwepa kitu, anasema halmashauri kuu ya CCM imewashauri wakae meza moja na viongozi wa dini ili watanzania wasipige kura kama wakristu ama kama waislam
zipo ila mimi imenibidi nilipie kwanza una pumzi nikutumie linki??Hakuna Tivii zinazo stream matangazo laivu?
Halafu hivi hawa wana delay kweli? Maana asije akapiga simu kichaa akaanza kutumia lugha chafu....
Hehehehe...swali la bwana Zongo bana...Lol
Mi mwenyewe nimepiga lakini naona line ziko 'busy' sana.
Ameulizwa juu ya madai ya walimu, ngoja tuone majibu yake
zipo ila mimi imenibidi nilipie kwanza una pumzi nikutumie linki??