Maswali kwa Mbunge wangu: MH WENJE

tanzania ni miongoni mwa nchi zinazozuia matumizi ya bangi na madawa ya kulevya
 
Jadili ya wezi wenzako CCM na mikakati yenu ya kifedhuri ya kuwakandamiza watanzania kwa masilahi yenu!

Kwa hiyo na nyie mmeamua kuwakandamiza raia wa Mwanza kwa maslahi yenu, mkuu chama ebu angalia jamaa zako wanavyoitafuna Mwanza.
 
Last edited by a moderator:
I real agree you Fisadi mtoto.bt for sure kwa hali na wkt huu nothing is important thn changes!SISYEM IS NO MORE!
 
Jibu la suala hili lilikuwa nini?? Ni muhimu kujua maana uendeshaji wa halmashauri una kanuni ambazo hazibadilika, usimamizi unaweza badilika kulingana na aina ya uongozi. Mapato ya halmashauri na mgawanyo wake ndio unaoletea tofauti kwa upande wa pili....

Naomba kujua jibu la mwisho la suala hili.

Asante
 
Mkuu Ritz;
Gwalihenzi na molemo wanaishi kwa posho za Chadema wao kila siku hawana uwezo wa kutetea hoja; wananchi Mwanza inawezekana sio watanzania kwa utaratibu wao Chadema si unajua tena jamaa zetu wao wapo kikabila na kikanda zaidi!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Pamoja na kuanzisha post hii hakuna majibu yeyote niliyopata zaidi naona maswali ndio yameongezeka.
 
Back
Top Bottom