Maswali gani yanayoulizwa mara kwa mara kwa kada ya uhasibu kwenye interview?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
1,147
2,746
Habari zenu wakubwa?

Najua humu kuna experts wa kila fani.so binafsi nilikua naomba kusaidiwa kupewa orodha ya maswali ya interview kwa wahasibu yanayoulizwa mara kwa mara na panelists both in private and public sectors ili mimi na wenzangu tuweze kujifunza jambo.

Asanteni
 
Back
Top Bottom