Maswali gani yanayoulizwa katika nafasi ya Committee Clerk (Katibu wa Kamati Daraja la ll)

Mwagabona

Member
May 7, 2023
79
112
Habari wakuu,

Naomba kusaidiwa kujua maswali muhimu yanayoulizwa kwenye nafasi tajwa hapo juu.

Kiukweli hii ni kada ambayo siifahamu vizuri ila akitokea wa kunielewesha na kunipa namna ya interview zao zinakuaje naamini ntaleta ushindani.

Shukrani
 
1. Soma kuhusu meeting
2. Report kwa ujumla wake
3. Fika halmashauri iliyopo karibu yako utapata majukumu yao kirahisi

All the best.

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom