Maswali 7 ya Jaji Joseph Sinde Warioba

Warioba asipoangalia atazeeka mara mbili yeye akae kimywa dawa iweze kuingia alipotosha sana sasa moto unamwakia anajuta na mikono kichwani.

we makalio/malaya unataka umuzeeshe?
 

Hivi nyinyi watu kweli mnafikiri? Sheria inawaruhusu kabisa kumuita tena Warioba kwenye BMK. Kwanini basi mnaogopa kumuita Warioba ili azitolee ufafanunuzi hizo hoja zenu mnazodai. Mnataka Warioba akazitolee wapi hoja zenu? Choo.ni? get real dude. Juzi nilimsikia Hawa Ghasia akisema kwamba Judge Warioba afunge mdomo wake. Awaachie wao (wawakilishi) wa wananchi wafanye kazi yao. Hivi kweli Hawa Ghasia ni mtu wa kumwambia Warioba afunge MDOMO WAKE! Kama anagekuwa TL amesema maneno hayo tena kwa former PM of URT sasa hivi ingekuwa HULLABALOO! Lakini kwa CCM wao wana kibari cha kumtukana mtu yeyote with IMPUNITY.
 
Komba naye anamtukana WARIOBA.!!!?? Hapana jamani. Its too much.

huyu Kigwangalla siku anayowasilisha maon ya wengi alimtukana huyu mzee na tume yake na kumwita mnafki,mwongo namshangaa hapa anajibalaguza eti uanze mchakato unaojitegemea juu ya muungano,mbona hakumwambia mwongo na mnafki???i hate fake politicianz kwakweli,
 
Mzee Warioba amewapa za usoni MaCCM, sidhani kama kuna anayeweza kujibu hayo maswali kama Dr Vitumbua ameshauri kurudi tena kwa wananchi...
 

Huwezi kumjibu mtu ambaye una hakika hataelewa majibu yako. Ni sahihi kuuliza swali rahisi ili akijibu, anakuwa ameelewa hata alichouliza yeye mwenyewe.

Nawe unaamini takwimu za warioba ni mbaya na zilikusanywa vibaya? Au, zilitafsiliwa vibaya? Sema halafu tukusaidie kuwafikishia wajumbe wenzako.

We can't be cow dung like you!
 
Maswali ya Warioba, CCM hawataweza kuyajibu ila badala yake watzudusha mashambulizi dhidi yake.
 

Hawa! Hawa! Hawa! Ghasia! Ana elimu gani hadi awe shujaa wa aina hiyo Bungeni? naamini walipiga makofi.

Hawa alistahili kuwa mtendaji wa kata na siyo waziri. Nasema hayo kwa kuangalia kiwango cha elimu yake.
 
Tume ya jaji warioba upande wa mfumo wa muungano wamekosea mh mbunge, alafu si wananchi wote walopropose serikali 3,
Hiyo kitu italigawa taifa in the longrun it is obvious.
kwani ni wananchi wote waliomtaka Kiwete awe raisi? 629 walioko kwenye BMK sasa ni wengi kuliko wananchi waliopendekeza serikali tatu? Fikiri tena!
 
Umeusemea moyo wangu. Kura ingekuwa ya siri mambo yangekuwa magumu kwa chama tawala.
 
Usiite watu mbumbumbu mkuu, si ustaarabu.
Sijawai fanya takwimu,
Sijafuata maelekezo ya yeyote yule, nimewaza mwenyewe nikachanganya na wanosema ukawa na walio against ukawa nimeconclude serikali 3 italeta matatizo, nitapigia kura mbili,
Ni maoni tu

Huna akiri wewe go to hell
 
anadai eti wanajeshi wamechoka kupiga mizinga 21 mara mbili,pointless.
Hukumsoma vizuri: Alichomaanisha ni kwamba nchi moja haiwezi kuwa na ma amiri jeshi wakuu zaidi ya mmoja. Shein pekee ndo anapigiwa mizinga 21 zenji. Kwa si JK kufanyiwa hivyo? Fikiri tena!
 


Huwa najiuliza ulinzi anaoutegemea Warioba ni wa Mungu ama ni wa hao hao anao pambana nao???

Au kuna nini kinachoendelea??? Maana dunia ya sasa kuondoana maisha ni sekunde tu.


Warioba nadhani wanamuonea huruma kwa sababu ya umri.
Dr. Mvungi ndo alikua mwiba mkali wa kuifafanua rasimu kwa watu wa marika yote.

Mbowe alijigamba kwamba ana ushahidi wa kifo cha Dr. Mvungi;au ulikua ni usanii wa ki DJ?
 
Labda ni rudi kwenye hoja ya msingi! Hakuna kitu kina nishanganza kama watu wana simama na kusema mimi na taka serikali tatu alafu mtu hatoi mapungufu ya serikali mbili kwa kuonyesha yatakavyo tatuliwa na serikali tatu!

Mtu anasimama ana sema tunataka serikali mbili bila kusema kuwa mapungufu ya muundo uliopo yatatatuliwaje kwa kuendelea na muungano uliopo wa serikali mbili

Watu wanatoa vijembe, matusi kejeli wanapigiana makofi! Wengine wanatoka bungeni kwa kisingizio eti wana tukanwa sana,! Jamani nilitarajia kuona hoja ya msingi ya kuwafanya watoke bungeni! Kwani kanuni hazipo? Mtu anapotukana watu kanuni zinasemaje?

Mkitoka mkarudi huku kwetu mkafanya mikutano maandamano ndo katiba mpya itapatikana? Kwa vipi? Hebu mnisaidie hapa

Na hao walio baki ndani kuendelea kutukana walio toka nje ndio kutunga katiba mpya?

Kuendelea kumsifia mwenyekitu wa chama kutangaza msimamo wa chama na kuwataka wajumbe kufuata msimamo wa chama na sio maoni ya watanzania ndo kutunga katiba?

Kuendelea kumtukana warioba ndo kujadili rasimu? Huu nimpango mmoja wapo wa kuchezea kodi za wananchi! Kujifanya mnataka kufanya kitu cha maana wakati mnajua hamna guts za kufanya!

Na hili lita wasurubu miaka 20 tu ijayo itakapo lazimika kutunga tena katiba!

TANZANIA YA SERIKALI MOJA KWANZA
 
anadai eti wanajeshi wamechoka kupiga mizinga 21 mara mbili,pointless.

Hujui sheria za jeshi kaa kimya.. Unajua mizinga inapopigwa inamaanisha nni au unachukulia wamechoka kupiga mizinga (kama kitendo) tu. Haiwezekani heshima anayopewa amiri jeshi mkuu wa tanzania anapewa hiyo hiyo rais wa zanzibar... Think 2*2
 
Bila hiana, huyu Jaji Joseph Sinde Warioba ndiye anayefaa kuwa Rais wa Serikali ya Shirikisho kuanzia mwaka 2015!
 
Warioba asipoangalia atazeeka mara mbili yeye akae kimywa dawa iweze kuingia alipotosha sana sasa moto unamwakia anajuta na mikono kichwani.

Ndugu yangu tatizo ni wale ambao walitaka Warioba aje na mawazo yao! ndio maana wanatumia nguvu nyingi sana badala ya kutumia Hoja, embu jiulize kitu kimoja, Muungano umedumu kwa miaka 50 sasa, maana yake tunapoujadili sasa tunatakiwa tuujadili katika mfumo ulio bora zaidi na si mfumo unaotugawa au ule ule uliopo, bali uwe mfumo unaozidi kutuunganisha, maana baada ya tarehe 26/4/1961 tumekuwa wamoja sana tumeshirikiana katika mambo mengi, Hivyo tulitakiwa tuzungumzie muundo wa serikali 1. Na si 2 au 3. Ukiona tuko palepale ujue tatizo ni kubwa na tunakoelekea ni kugawana mbao.
 
Hivi tunaweza kuanza tena kuhoji juu ya mauti yasiyotarajiwa yaliyomkuta Dr. Sengodo Mvungi!?
Maana katika watu wenye/waliokuwa na uwezo wa kuelezea huu Muungano kwa ufasaha hata wenye akili ndogo wakamwelewa ni huyu daktari. Si ajabu hawa 'waaribifu' waliliona hili na kufanya walilolifanya ...."you will kill a person but you will never kill a dream". - (hivi ilisemwa na) Nesta marley au King Jr?

 

warioba anajutia nini? wajibu maswali aliyouliza wapinge kwa hoja mapendekezo ya tume ( na watu wakumbuke warioba hakuwa peke yake mle) sio vijembe vinvyopoteza muda bungeni . na kwa mwelekeo huu hakuna kinachofanyika kwa saa ndani ya BMK hizi ni sura za muungano tu bado vitu vingi sana kwenye rasimu ile in the middle of it wajumbe wengi watazipiga mle ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…