Mleli
Member
- Jun 6, 2011
- 90
- 11
Hivi nyinyi watu kweli mnafikiri? Sheria inawaruhusu kabisa kumuita tena Warioba kwenye BMK. Kwanini basi mnaogopa kumuita Warioba ili azitolee ufafanunuzi hizo hoja zenu mnazodai. Mnataka Warioba akazitolee wapi hoja zenu? Choo.ni? get real dude. Juzi nilimsikia Hawa Ghasia akisema kwamba Judge Warioba afunge mdomo wake. Awaachie wao (wawakilishi) wa wananchi wafanye kazi yao. Hivi kweli Hawa Ghasia ni mtu wa kumwambia Warioba afunge MDOMO WAKE! Kama anagekuwa TL amesema maneno hayo tena kwa former PM of URT sasa hivi ingekuwa HULLABALOO! Lakini kwa CCM wao wana kibari cha kumtukana mtu yeyote with IMPUNITY.
Wewe ndo unajiita unafikiri?? kwani hayo maswali si aliyajenga katika kujibu hoja? aliyaulizia wapi hayo maswali? chooni? ni kwamba hana majibu ya hoja na maswali yanayoulizwa kuhusu rasimu ya tume yake. Hawa Ghasia ana haki ya kumuambia afunge mdomo wake kwa kuwa anachokifanya ni kupigia debe serikali 3 badala ya kujibu hoja za msingi. Kwa hiyo wewe umemuona Hawa Ghasia kakosea kwa kumuambia Jaji Warioba afunge mdomo wake kisa ni former PM? na sio Tundu Lissu aliyemuambia Mwl Nyerere muasisi wa taifa letu kuwa alikuwa akiishi kwa uwongo na kuwalaghai watanzania?