Maswali 20 kwa Mungu

Kama umejua ana akili tayari upo kwenye hatua ya kuzichunguza ila hujajua uzichunguze vipi..!
Nime quote kwenye Bible, by theway siko interested kupingana na mnaompinga Mungu maana niko busy kidogo na wanaomcha. Karibu kwenye ibada
 
Sasa nimekuelewa,je,kwanini we unaona hili suala ni la kufikirika? ni uhalisia gani umekosekana katika hili suala.
 
Sasa nimekuelewa,je,kwanini we unaona hili suala ni la kufikirika? ni uhalisia gani umekosekana katika hili suala.
ni la kufikirika coz limeundwa hivyo ili ishindikane namna ya kuhoji kiundani zaidi means that kwa wanaolitumia wazo hilo ishindikane kubainika in reality.

Pili, ni la kufikirika coz ya mazingira yamemfanya mtu kupata wazo hili kwa kushindwa kujua mwanzo wa kila kitu hivyo ku create kuwa kuna aliefanya hivyo.

uhalisia uliokosekana hapo ni kutokuwepo kwa uthibitisho wa uwepo wake.
 
Kwani ni lipi linalofanya ishindikane kuhoji au kubainika katika kujua kama kweli mungu yupo? maana suala la kutokuonekana sio ishu kwa kuwa wote tunajua kuwa kuna vitu vingi tu tusivyoviona lakini tunajua vipo na hakuna ubishani katika hilo.

Pili wasio amini kuwepo mungu nao wanamitazamo tofauti juu ya mwanzo wa vitu vyote,hivyo tatizo sio mazingira yamekufanya ufikiri vp bali ni uhalisia wenyekuendana na hicho unachofikiri.

Mwisho kabisa ningekuomba unipe mifano michache ambayo kwako ingekuwa ni uthibitisho kumfanya mtu akubali kuwa mungu yupo,yani ni yapi ambayo yanakosekana kama uthibitisho katika madai ya kuwepo kwa mungu.
 
nadhani hilo la kwanza nshalijibu!
lichunguze vizuri.

hoja yako ya pili sipingi ndio wapo na kuhusu mazingira nimesemea kwa watu wanaoamini ktk mungu kwa kuangalia yalivyo ktk mpangilio yalivyo ndio wazo hilo likaibuka.
tatu ni.
uthibitisho wa kuwepo kwake.
uthibitisho wa yeye ku creat everything.
 
Mbona kwenye aya ya mwisho nimeeleza kila kitu...kama mtu unaona haya mambo ni dhihaka kwasababu unayajua, tulia watu wanijulishe mimi sijui,....kama una japo uelewa kidogo jibu walau swali moja....siyo unakuja hapa kulalamika pasipo sababu!!!
Oya sorry kwa kufanya uzi wako kuwa wa kuulizana maswali tofauti na mada inavyotaka!
 
Anyway,
maswali yako KWANGU nimeyaona na nimeyasoma,
Subiri nitakujibu soon
 
So kama mungu ni Mimi mwenyewe mbona kuna kusali?
Na mbona siijui kesho?
 
Ndugu sijui nikuelekeze vipi anyway

Je, ushawai sikia serikali inahalalisha uchapishwaji wa fedha bandia wingi wa pesa bila thamani ni sawa na notes za o level, lazima ujue fedha ni thamani na si yale makaratasi na ili utafutie yale makaratasi thamani ni lazima uzalishe vitu vya thamani.

Hivyo basi pesa zinapokuwa nyingi ilhali uzalishaji ni mdoge thamani yake hupungua so manunuzi ya nje ya nchi hutaweza kutumia ndiyo kukopa hufuatia ukitaka deni la taifa lipungue zalisha sana mpaka pesa iwe strong kisha lipa mkopo anza kujitegemea na si kuchapisha pesa nyingi kwa minajili uifikiriayo.
 
Jinsi huyu jamaa alivyouliza hayo maswali kwa upole E="KENZY, post: 17124722, member: 345804"]kwann..?[/QUOTE]
Jinsi
 
upo sahihi.. ila hauoni kama hela ina negative impacts nyingi kuliko positive impacts?
 
upo sahihi.. ila hauoni kama hela ina negative impacts nyingi kuliko positive impacts?
sasa hapo siwezi kukubali au kukataa maana ukiangalia labda kabla ya pesa ilikua ni kubadilisha kutokana na mahitaji na si thamani ya kitu mfano mchele kwa mbuzi

BTW mi nadhani huu mfumo wa fedha ndio bora kuliko mingine (ni kwa mtazamo wangu)
 
Akili za MUngu sio akili za mwanadam,mawazo ya MUngu sio mawazo ya mwanadam,uwezo wa MUngu sio uwezo wa mwanadamu. Hakika MUngu yupo.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
sasa hapo siwezi kukubali au kukataa maana ukiangalia labda kabla ya pesa ilikua ni kubadilisha kutokana na mahitaji na si thamani ya kitu mfano mchele kwa mbuzi

BTW mi nadhani huu mfumo wa fedha ndio bora kuliko mingine (ni kwa mtazamo wangu)
salale [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…