Maswali 20 kwa Mungu

Maswali 20 kwa Mungu

Kama umejua ana akili tayari upo kwenye hatua ya kuzichunguza ila hujajua uzichunguze vipi..!
Nime quote kwenye Bible, by theway siko interested kupingana na mnaompinga Mungu maana niko busy kidogo na wanaomcha. Karibu kwenye ibada
 
utakuwa ujanielewa hapo mwanzoni nadhani hebu jaribu kupasoma vizuri nlikuwa na maana kuwa yeye ni wa kufikirika hivyo kufikirika huko hakuleti uthibitisho wa uwepo wake na sio kwamba uthibitisho wake wa kuwepo wala kutokuwepo ni wa kufikirika. i think you get me
Sasa nimekuelewa,je,kwanini we unaona hili suala ni la kufikirika? ni uhalisia gani umekosekana katika hili suala.
 
Sasa nimekuelewa,je,kwanini we unaona hili suala ni la kufikirika? ni uhalisia gani umekosekana katika hili suala.
ni la kufikirika coz limeundwa hivyo ili ishindikane namna ya kuhoji kiundani zaidi means that kwa wanaolitumia wazo hilo ishindikane kubainika in reality.

Pili, ni la kufikirika coz ya mazingira yamemfanya mtu kupata wazo hili kwa kushindwa kujua mwanzo wa kila kitu hivyo ku create kuwa kuna aliefanya hivyo.

uhalisia uliokosekana hapo ni kutokuwepo kwa uthibitisho wa uwepo wake.
 
ni la kufikirika coz limeundwa hivyo ili ishindikane namna ya kuhoji kiundani zaidi means that kwa wanaolitumia wazo hilo ishindikane kubainika in reality.
pili ni la kufikirika coz ya mazingira yamemfanya mtu kupata wazo hili kwa kushindwa kujua mwanzo wa kila kitu hivyo ku create kuwa kuna aliefanya hivyo.

uhalisia uliokosekana hapo ni kutokuwepo kwa uthibitisho wa uwepo wake.
Kwani ni lipi linalofanya ishindikane kuhoji au kubainika katika kujua kama kweli mungu yupo? maana suala la kutokuonekana sio ishu kwa kuwa wote tunajua kuwa kuna vitu vingi tu tusivyoviona lakini tunajua vipo na hakuna ubishani katika hilo.

Pili wasio amini kuwepo mungu nao wanamitazamo tofauti juu ya mwanzo wa vitu vyote,hivyo tatizo sio mazingira yamekufanya ufikiri vp bali ni uhalisia wenyekuendana na hicho unachofikiri.

Mwisho kabisa ningekuomba unipe mifano michache ambayo kwako ingekuwa ni uthibitisho kumfanya mtu akubali kuwa mungu yupo,yani ni yapi ambayo yanakosekana kama uthibitisho katika madai ya kuwepo kwa mungu.
 
nadhani hilo la kwanza nshalijibu!
lichunguze vizuri.

hoja yako ya pili sipingi ndio wapo na kuhusu mazingira nimesemea kwa watu wanaoamini ktk mungu kwa kuangalia yalivyo ktk mpangilio yalivyo ndio wazo hilo likaibuka.
tatu ni.
uthibitisho wa kuwepo kwake.
uthibitisho wa yeye ku creat everything.
 
Mbona kwenye aya ya mwisho nimeeleza kila kitu...kama mtu unaona haya mambo ni dhihaka kwasababu unayajua, tulia watu wanijulishe mimi sijui,....kama una japo uelewa kidogo jibu walau swali moja....siyo unakuja hapa kulalamika pasipo sababu!!!
Oya sorry kwa kufanya uzi wako kuwa wa kuulizana maswali tofauti na mada inavyotaka!
 
1.Mungu kama ulimwumba kila mtu kwa mfano wako, je wewe ni mwamaume au mwanamke?

2.Mtu akiugua, aende hospitalini kupewa tiba au akafanyiwe maombi? Na akifanya vyote, kipi kitasaidia zaidi?

3.Mungu wakati unamwumba mwanaume uliweka govi, hukujua ni najisi? mbona unasema likwatwe? huko siyo kuediti uumbaji wako?

4.Watakaoingia mbinguni, watafurahi vipi kama ndugu zao wawapendao watakuwa jehanamu?

5.Baada ya gharika ya Nuhu, maji ya mafuriko yalielekea wapi??? Kwa sababu kila mahali palijaa maji.

6.Kwanini ulichelewa kumwumba mwanamke ilihali ulimuumba mwanaume na uhitaji wa mwanamke? Nadhani hapo ndo chanzo cha kujichua.

7.Mungu kwanini uliumba bangi? ni ya kazi gani? Mbona watu wako wanaipinga sana?

8.Mungu kama wewe ni mpangaji wa maisha yetu, kwanini tukusumbue kwa sala?

9.Mbona watu wema wanapatwa na mabaya? Si uliahidi mema ya nchi kwa watenda mema?

10.Kama watu wote ni uzao wa Adam na Eva, mbona tunatofautiana sana...nini chanzo cha kuwepo kwa watu weupe na weusi?

11.Mungu mbona kwenye maandiko yako umechochea sana utumwa(slavery)? kwani tukiishi kwa usawa haikupendezi?

12.Mungu una urafiki na shetani? mbona mnakutana mara kwa mara na kupiga stori( Ayubu 1:6-12)

14.Kwanini ulimtese Ayubu kwa lengo la kuridhisha matakwa shetani?

15.Mungu mbona ulimpa Musa amri ya usiue lakini ukampa maagizo ya kuua...Mungu hadi leo pale middle east wanauana.

16.Mungu kwa kuwa ulisema tupumzike siku ya 7, mbona watu wanatembea umbali mrefu kutafuata majumba ya ibada na wengine wanatumia hiyo siku ya 7 kupata pesa kwa njia ya sadaka? kwanini tusibaki nyumbani tupumzike?

17.Baada ya Kaini kumua Abeli ulimuuliza Kaini ndugu yako yupo wapi, hivi ni kweli hukujua alipokua Abeli?

18.Mungu kama unalounganisha hakuna awezae kulitenganisha, mbona ndoa zinavunjika?

19.Mungu hivi Suleiman ndiye aliyekuwa na hekima kuliko wote? mbona alifanya mambo kuntu sana? Wanawake 1000 siyo mchezo...au polygamism ndio hekima yenyewe?

20.Mungu kwanini ulimpa Hitler roho mabaya kiasi kile? yaani alichokifanya humu duniani we acha tu.

Naamini kuna watumishi wa Mungu huku jf, kwahiyo ningepende wanisaidie majibu ya haya maswali...nimeuliza siyo ayajibu Mungu bali watu wenye uelewa na haya mambo...Kama mtu huna jibu kuwa mvumilivu maana wapo wenye ufahamu wa kutosha na siyo kulaani, kuhukumu na kuniona kana kwamba nimepotea...Muhimu zaidi jibu la uongo halitakiwi...pia kama jibu lina utata nitauliza.Karibuni kwa majadiliano yenye nia ya kueleweshana
Anyway,
maswali yako KWANGU nimeyaona na nimeyasoma,
Subiri nitakujibu soon
 
So kama mungu ni Mimi mwenyewe mbona kuna kusali?
Na mbona siijui kesho?
 
Ndugu sijui nikuelekeze vipi anyway

Je, ushawai sikia serikali inahalalisha uchapishwaji wa fedha bandia wingi wa pesa bila thamani ni sawa na notes za o level, lazima ujue fedha ni thamani na si yale makaratasi na ili utafutie yale makaratasi thamani ni lazima uzalishe vitu vya thamani.

Hivyo basi pesa zinapokuwa nyingi ilhali uzalishaji ni mdoge thamani yake hupungua so manunuzi ya nje ya nchi hutaweza kutumia ndiyo kukopa hufuatia ukitaka deni la taifa lipungue zalisha sana mpaka pesa iwe strong kisha lipa mkopo anza kujitegemea na si kuchapisha pesa nyingi kwa minajili uifikiriayo.
 
Jinsi huyu jamaa alivyouliza hayo maswali kwa upole E="KENZY, post: 17124722, member: 345804"]kwann..?[/QUOTE]
Jinsi
 
ndugu sijui nikuelekeze vipi anyway

je ushawai sikia serikali inahalalisha uchapishwaji wa fedha bandia wingi wa pesa bila thamani ni sawa na notes za o level
lazima ujue fedha ni thamani na si yale makaratasi na ili utafutie yale makaratasi thamani ni lazima uzalishe vitu vya thamani
hivyo basi pesa zinapokuwa nyingi ilhali uzalishaji ni mdoge thamani yake hupungua so manunuzi ya nje ya nchi hutaweza kutumia ndiyo kukopa hufuatia ukitaka deni la taifa lipungue zalisha sana mpaka pesa iwe strong kisha lipa mkopo anza kujitegemea na si kuchapisha pesa nyingi kwa minajili uifikiriayo
upo sahihi.. ila hauoni kama hela ina negative impacts nyingi kuliko positive impacts?
 
upo sahihi.. ila hauoni kama hela ina negative impacts nyingi kuliko positive impacts?
sasa hapo siwezi kukubali au kukataa maana ukiangalia labda kabla ya pesa ilikua ni kubadilisha kutokana na mahitaji na si thamani ya kitu mfano mchele kwa mbuzi

BTW mi nadhani huu mfumo wa fedha ndio bora kuliko mingine (ni kwa mtazamo wangu)
 
Akili za MUngu sio akili za mwanadam,mawazo ya MUngu sio mawazo ya mwanadam,uwezo wa MUngu sio uwezo wa mwanadamu. Hakika MUngu yupo.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
sasa hapo siwezi kukubali au kukataa maana ukiangalia labda kabla ya pesa ilikua ni kubadilisha kutokana na mahitaji na si thamani ya kitu mfano mchele kwa mbuzi

BTW mi nadhani huu mfumo wa fedha ndio bora kuliko mingine (ni kwa mtazamo wangu)
salale
 
Back
Top Bottom