Maswali 20 kwa Mungu

Maswali 20 kwa Mungu

[QUOTE uid=292576 name="CHAMITON" post=17105195]
11.Mungu mbona kwenye maandiko yako umechochea sana utumwa(slavery)? kwani tukiishi kwa usawa haikupendezi
hili swali lako limenigusa mno.. ukifikiria kwa umakini utajua kwanini wazungu walileta dini ya kikristo.. dini ya kikristo inafundisha kuwa na huruma, kuwa wanyenyekevu, kuwa watu wa kutokuhoji vitu.. wakati wa ukoloni mababu zetu walikua watata sana yaani hawatii mamlaka ya mkoloni, ndo maana wakoloni wakaintroduce huu ukristo kwa waafrika ili wawe na roho ya huruma, wawe wanyenyekevu, yaani kwa kizungu unaweza kusema walitujenga tuwe SUBMISSIVE.

Kwa maana hiyo basi chochote mwafrika alichokua anatendewa na mzungu, mafundisho ya biblia kutoka kwa wamisionari yaliwaelekeza kuwa watu wa kukubali yanayotokea, NDO ULE MSTARI WA BIBLIA UNAOSEMA AKUPIGAE SHAVU LA KUSHOTO, MGEUZIE PIA NA LA KULIA. Kwamba mwisho wa dunia huyo mkoloni ataenda kuchomwa moto.

Kwa maana hiyo basi, neno la Biblia lilikua faraja sana kwa watumwa kwa kuwa neno liliwaambia, hao wakoloni wanaowatesa wana hukumu yao ambayo ni moto wa jehanam.. UNAONA MZUNGU ALIVYO MJANJA?

Sasa tujiulize swali moja, wote tunajua kwamba mzungu ni mbaguzi, anatuita waafrika masokwe, hapohapo anatuletea biblia tuisome tumwabudu Yesu mwisho wa siku twende tukaishi mbinguni.. hvi hawa jamaa kama huku duniani wanatubagua hivi na kutudhihaki, TUNAAMINI KABISA WAMETULETEA YESU ILI TUOKOKE MWISHO WA SIKU TUKAISHI NAO MBINGUNI??? YANI MZUNGU AMBAE MBAGUZI AISHI NA MWAFRIKA YAAN SOKWE, AISHI NAE MBINGUNI?

TAFAKARI.[/QUOTE]Kubaguliwa kwa mwaafrika ni issue mojawapo...ila tatizo wao kwa wao walijitwalia watumwa na kuwatumikisha ndo maana nikauliza kwanini???
 
Yaani Mmisionari alikua ni Mkoloni yuleyule, ambae alikuja kwa mavazi tofauti, yaani mavazi ya kipadre.. NI SAWA NA CHUI ALIEVAA NGOZI YA KONDOO. Mmisionari na Mkoloni wote lengo lao lilikua moja, kututawala waafrika.. Mkoloni alikua anatawala waafrika, na ardhi yao (PHYSICAL THINGS) na Mmisionari nae alikua anatawala akili za Waafrika (NON-PHYSICAL THINGS)
 
Majibu ya maswali 1,4 na 7 ni kama ifuatavyo

1:Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hamna kiumbe chochote duniani kinachofanana nae

4:Mungu atawapatia kama zawadi wale wacha Mungu haswaa au wale ambao wamehifadhi juzuu 30 kichwan kuchagua watu 70 kuingia nao peponi

7:Faida za bangi ni kama ifuatavyo

a :Bangi ina kemikali inayoitwa tetrahydrocannabiol ambayo inaweza kuzuia kifafa

b:Bangi inapunguza presha ya jicho(intraocular pressure)

c:Bangi inakemikali inayoitwa Cannabidiol ambayo inapunguza kuenea kwa kansa mwilini

d:Huweza kutibu magonjwa ya utumbo(inflammatory bowel diseases)

e:Hupunguza na kutibu matatizo ya kutetemeka kwa misuli kitaalamu inaitwa parkinsonism

f:Huongeza uwezo wa kubuni vitu,uwezo wa kukumbuka na uwezo wa kuzungumza

g:Huongeza matumizi ya sukari mwilini
Mkuu nikupongeze kwa kujibu vyema swali la saba...je tunaruhusiwa kuitumia kwa kuivuta?
Kuhusiana na kuingia peponi kwahiyo kuna watu wataingia peponi kwa migongo ya watu wengine.
Swali la kwanza nimeuliza je Mungu ni KE au ME sijauliza kama alizaa au alizaliwa, rejea swali tafadhali.
 
Kubaguliwa kwa mwaafrika ni issue mojawapo...ila tatizo wao kwa wao walijitwalia watumwa na kuwatumikisha ndo maana nikauliza kwanini???
Nimefocus zaidi kwenye SLAVERY. Biblia iliandikwa na watu wenye ufahamu wa hali ya juu.. na ilikua imeandikwa ili kutekeleza mikakati ya muda mrefu sana.. haya maisha yote tunayoishi watu walishapanga miaka na miaka kwamba itakuwa hivi.. na ndo maana kila kinachotokea sasa kimeandikwa kwenye biblia, watu wanasema ni mwisho wa dunia umefika, hapana, ni mipango ile ilishapangwa.. ndo maana hata maneno yanayohusu utumwa yameandikwa kwenye biblia.. walijua wanachokuja kukifanya baadae.

Ngumu kuelewa ila jitahidi tu hivyohivyo
 
Nimefocus zaidi kwenye SLAVERY. Biblia iliandikwa na watu wenye ufahamu wa hali ya juu.. na ilikua imeandikwa ili kutekeleza mikakati ya muda mrefu sana.. haya maisha yote tunayoishi watu walishapanga miaka na miaka kwamba itakuwa hivi.. na ndo maana kila kinachotokea sasa kimeandikwa kwenye biblia, watu wanasema ni mwisho wa dunia umefika, hapana, ni mipango ile ilishapangwa.. ndo maana hata maneno yanayohusu utumwa yameandikwa kwenye biblia.. walijua wanachokuja kukifanya baadae.. Ngumu kuelewa ila jitahidi tu hivyohivyo
Mkuu sasa hapo tutatokaje??? kuna suluhisho???
 
Mkuu sasa hapo tutatokaje??? kuna suluhisho???
kama Mzungu aliweza kukaa chini miaka na miaka kutengeneza kitu kama hiki na kukipa nguvu hadi za kuponya, pata picha mimi na wewe ambao hatuna hata rasilimali itachukua miaka mingapi kubadilisha mawazo ya watu na kuwashawishi wakubali ukweli.. ndo basi tena kaka tumkubali yesu wao tu maana hamna namna.. ni kama mgonjwa wa UKIMWI, hana namna.
 
Mkuu nikupongeze kwa kujibu vyema swali la saba...je tunaruhusiwa kuitumia kwa kuivuta?
Kuhusiana na kuingia peponi kwahiyo kuna watu wataingia peponi kwa migongo ya watu wengine.
Swali la kwanza nimeuliza je Mungu ni KE au ME sijauliza kama alizaa au alizaliwa, rejea swali tafadhali.
1:Mungu hana jinsia (si mwanaume wala si mwanamke) alaf si Mungu tu pekee ambaye hana jinsia hata malaika,na ibilisi pia nao hawana jinsia

4:Ni kweli kuna watu wataingia peponi kwa migongo ya wengine ila upendeleo huu utakuwa kwa wale waumini thabiti

7:kwa nchi yetu hairuhusiwi labda kwa wale ambao wana vibali maalum kutoka kwa daktari ila kuna mbunge anaitwa Ally Kessy ashawahi kuomba nchi yetu iruhusu matumizi ya bangi
 
tatiza kinacho kusumbua wewe ni ukiristo na waisilamu wote tunajua sasa wewe hayo maswali yako kwanza kamuulize aliye kufundisha dini na kama akishindwa njoo pm naapa nitakujibu yote kwa idhni ya mola wangu
 
lakini kumbuka ni maandiko hayohayo yalitumika kusaidia ku "abolish" slave trade in Afrika kama kweli ulisoma history utakua umenielewa.
 
JIBU NO 1

"Mimi MUNGU niliosema nimemuumba mwanadamu kwa mfano wangu sikumaanisha kimaumbile kwani mimi roho

hivyo basi nilimaanisha binadamu huyu anafanana nami kiroho.

KUMBUKA; Siku zote mfano sio kama kitu halisi ila ina fanana na kitu halisi.

roho ya MWAFRIKA MZUNGU MUARABU mwanamke na mwana mme haina utofauti ila zote zinafanana na "SISI"
 
lakini kumbuka ni maandiko hayohayo yalitumika kusaidia ku "abolish" slave trade in Afrika kama kweli ulisoma history utakua umenielewa.
na wewe unaamini hamna tena slavery? wewe unajua una deni la shilingi ngapi hapo unadaiwa kutokana na mikopo serikali yetu inayokopa? unajua kwamba kitendo cha sisi kushindwa kuwaadabisha wazungu na kudai fidia kutokana na ukoloni waliotufanyia tayari inaonyesha bado tupo kwenye SLAVERY?

Badala ya sisi tuwadai wao, wao ndo wanatudai, unasema hamna SLAVERY? hakuna kilichokua abolished hapo zaidi ya danganya toto, wamebadilisha tu form of slavery, sasa hivi inayotawala sana ni MENTAL SLAVERY.
 
Bob marley alikwisha sema
"hakuna wa kukutoa katika Mental slavery isipokuwa wewe mwenyewe"
Rejea wimbo wake (redemption song)

turudi kwenye mada deni la taifa sio slavery bali shida zetu ndo zinazosababisha tukope sababu rasiliamali tulizonazo zikipata good management tunaweza kuondokana na masahibu hayo.
 
Bob marley alikwisha sema
"hakuna wa kukutoa katika Mental slavery isipokuwa wewe mwenyewe"
Rejea wimbo wake (redemption song)

turudi kwenye mada deni la taifa sio slavery bali shida zetu ndo zinazosababisha tukope sababu rasiliamali tulizonazo zikipata good management tunaweza kuondokana na masahibu hayo.
hizo shida zetu zimeletwa na nani kama sio wao? huu mfumo tunaoishi ni wa kwetu au wa kwao? tulikua tunatumia hela kama medium of exchange? wao si ndo wameintroduce mfumo wa hela ili watutawale... pia tungekua na mashine ya kutengenezea hela unadhani tungekua na deni? nani anaecontrol hio kitu? upo?
 
Jiulize ww no nani? Kabla ya kuja ulimwenguni ulikuwa wapi? Baada ya kuishi hapa duniani utaelekea wapi? Kufanya nn? Utakutana na nani?.........
 
JIBU NO 3

WeWe BINADAMU nilichokiumba MIMI usikiite najisi
hata hivyo hilo la kutahiriwa nilishalitanabaisha katika PUMZI yangu niliyowapa ambalo ni neno langu "Biblia"

Rejea "Wagalitia 6;15 Kwa sababu kutahiriwa si Kitu wala kutokutahiriwa bali kiumbe kipya".
1Wakorintho 7;19kutahiriwa si kitu na kutokutahiriwa si kitu bali kuzihifadhi amri za Mungu.
 
Jiulize ww no nani? Kabla ya kuja ulimwenguni ulikuwa wapi? Baada ya kuishi hapa duniani utaelekea wapi? Kufanya nn? Utakutana na nani?.........
MASWALI MENGINE YA KUJIULIZA..
kabla ya wazungu kuja babu zetu walikua hawamjui Mungu? ina maana wote wapo motoni? na wachina wahindi waarabu na wajapan ambao hawamjui yesu wataenda motoni? sisi waafrika na wazungu ndo tutaenda mbinguni? yani mtu na mbaguzi wake wanaenda kuishi mbingu moja!!!??
Tusiwe wapumbavu kiasi hiki.
 
JIBU NO 4 NA 5

4;Huku mbinguni hakuna KUOA /KUOLEWA URAFIKI/VIJIWE VYA STORI hivyo kaa ukijua maisha ya huko duniani ni tofauti kabisa na Mbinguni

5;maji yale baada ya gharika yalirudi yalipo toka kwani hayakuletwa kutoka katika sayari zingine namaanisha ya ardhini yalirudi "water table" yaliyo yeyuka yalirudi kuganda "snow , ice" vivyo hivyo kwa mawingu kikubwa zaidi Hydrogen na Oxygen zilitengana ili isiform water H2O. hivyo ndivyo maji yalirudi.
 
Back
Top Bottom