Maswali 20 kwa Mungu

Maswali 20 kwa Mungu

Upeo wa fikra huwafanya watu waamini kuwa kamungu kapo,kama kapo thibitisha.
Mi sijawahi kaona hako kamungu au ulikaona wapi ili nikaone na Mimi !!
Sasa hapo ndiyo umejibu au umefanya nini? nimekuuliza swali kisha nikakuomba uthibitishe maneno ya kuwa hakuna mungu kama huna uhakika na ulichokisema ungesema tu.
 
Sasa hapo ndiyo umejibu au umefanya nini? nimekuuliza swali kisha nikakuomba uthibitishe maneno ya kuwa hakuna mungu kama huna uhakika na ulichokisema ungesema tu.
ha ha ha mkuu mvumilie huo ujibuji wake! ningemsaidia kujibu niruhusu nimsaidie kujibu
 
Kwani unafikiri kwanini watu wanasema kuna mungu? na we we unawezaje kuthibisha usemacho kuwa hakuna mungu?
Watu wanasema kuwa kuna mungu coz wakiangalia na kufikiria vitu vilivyopo wanaona/kuwaza kuwa kuna aliye vitengeneza, coz akili ya mwanadamu inawaza kuwa hakuna kitu ambacho kimejileta chenyewe isipokuwa mungu(kwa mujibu wa vitabu vya dini).
huo ni mwanzo tu wa mawazo ya mwanadamu kuanza kufikiri kuwa kuna kiumbe ambaye amefanya yote haya.

Pia sayansi kutokuwa na majibu juu ya nini mwanzo wa kila kitu imepelekea watu kuiamini logic hii.

Swalo la pili naomba unipe mda ntakujibu..
 
hizo shida zetu zimeletwa na nani kama sio wao? huu mfumo tunaoishi ni wa kwetu au wa kwao? tulikua tunatumia hela kama medium of exchange? wao si ndo wameintroduce mfumo wa hela ili watutawale... pia tungekua na mashine ya kutengenezea hela unadhani tungekua na deni? nani anaecontrol hio kitu? upo?
unakosea sana unaposema wazungu waliintroduce money ili watutawale! alafu kuwa na mashine ya kutengeneza ela haimaanishi kwamba hutokuwa na deni pia haimaanishi kuwa na mashine ya kuchapisha ela basi utachapisha nyingi uwezavyo ili kila mtu awe tajiri hapana ili kuelewa eneo hilo inabidi wachumi wakueleweshe hata hivyo sikatai kwamba wao wanapotushapishia hatuwalipi ila deni letu linatokana na vitu mbalimbali kama miradi mikubwamikubwa inshort kuwa na nakala nyingi ya pesa si kutatua shida za taifa kwani kinachoangaliwa ni thamani yake.
 
mkuu unakosea sana kudhani kuwa Mungu ni kiumbe... btw utanishawishi vipi kuwa ulimwengu huu umejileta wenyewe,?
 
unaelewa unachokisema? deni linatokana na miradi mikubwa.. miradi hiyo inahitaji hela, hela hizo inabidi tukope kwa sababu tu haturuhusiwi kuwa na mashine ya kutengenezea hela.. kwanini? haijulikani.. mwisho wa siku wanatuletea theories za demand and supply... upuuzi mtupu huu ni unyonyaji wao wanakaa na hizo mashine kama nani?

Wao hayo mabilioni ya misaada wanayotugawia wanatoa wapi kama sio hizo hela wanazoprint watakavyo? nani amewapa mamlaka ya kukaa na hiyo mashine? wao kama nani? kwanini na sisi tusiwe nazo?? UKIRITIMBA HUU.
 
Sasa hapo ndiyo umejibu au umefanya nini? nimekuuliza swali kisha nikakuomba uthibitishe maneno ya kuwa hakuna mungu kama huna uhakika na ulichokisema ungesema tu.

Upeo finyu ulionao ndio unakufanya ukomenti HIV kwa kuamini Limungu lipo
Kama lipo Liambie Lifungue account hapa JF lijibu hayo maswal hapo juu si linaweza kila kitu ?!
 
1.Mungu kama ulimwumba kila mtu kwa mfano wako, je wewe ni mwamaume au mwanamke?

2.Mtu akiugua, aende hospitalini kupewa tiba au akafanyiwe maombi? Na akifanya vyote, kipi kitasaidia zaidi?

3.Mungu wakati unamwumba mwanaume uliweka govi, hukujua ni najisi? mbona unasema likwatwe? huko siyo kuediti uumbaji wako?

4.Watakaoingia mbinguni, watafurahi vipi kama ndugu zao wawapendao watakuwa jehanamu?

5.Baada ya gharika ya Nuhu, maji ya mafuriko yalielekea wapi??? Kwa sababu kila mahali palijaa maji.

6.Kwanini ulichelewa kumwumba mwanamke ilihali ulimuumba mwanaume na uhitaji wa mwanamke? Nadhani hapo ndo chanzo cha kujichua.

7.Mungu kwanini uliumba bangi? ni ya kazi gani? Mbona watu wako wanaipinga sana?

8.Mungu kama wewe ni mpangaji wa maisha yetu, kwanini tukusumbue kwa sala?

9.Mbona watu wema wanapatwa na mabaya? Si uliahidi mema ya nchi kwa watenda mema?

10.Kama watu wote ni uzao wa Adam na Eva, mbona tunatofautiana sana...nini chanzo cha kuwepo kwa watu weupe na weusi?

11.Mungu mbona kwenye maandiko yako umechochea sana utumwa(slavery)? kwani tukiishi kwa usawa haikupendezi?

12.Mungu una urafiki na shetani? mbona mnakutana mara kwa mara na kupiga stori( Ayubu 1:6-12)

14.Kwanini ulimtese Ayubu kwa lengo la kuridhisha matakwa shetani?

15.Mungu mbona ulimpa Musa amri ya usiue lakini ukampa maagizo ya kuua...Mungu hadi leo pale middle east wanauana.

16.Mungu kwa kuwa ulisema tupumzike siku ya 7, mbona watu wanatembea umbali mrefu kutafuata majumba ya ibada na wengine wanatumia hiyo siku ya 7 kupata pesa kwa njia ya sadaka? kwanini tusibaki nyumbani tupumzike?

17.Baada ya Kaini kumua Abeli ulimuuliza Kaini ndugu yako yupo wapi, hivi ni kweli hukujua alipokua Abeli?

18.Mungu kama unalounganisha hakuna awezae kulitenganisha, mbona ndoa zinavunjika?

19.Mungu hivi Suleiman ndiye aliyekuwa na hekima kuliko wote? mbona alifanya mambo kuntu sana? Wanawake 1000 siyo mchezo...au polygamism ndio hekima yenyewe?

20.Mungu kwanini ulimpa Hitler roho mabaya kiasi kile? yaani alichokifanya humu duniani we acha tu.

Naamini kuna watumishi wa Mungu huku jf, kwahiyo ningepende wanisaidie majibu ya haya maswali...nimeuliza siyo ayajibu Mungu bali watu wenye uelewa na haya mambo...Kama mtu huna jibu kuwa mvumilivu maana wapo wenye ufahamu wa kutosha na siyo kulaani, kuhukumu na kuniona kana kwamba nimepotea...Muhimu zaidi jibu la uongo halitakiwi...pia kama jibu lina utata nitauliza.Karibuni kwa majadiliano yenye nia ya kueleweshana
Dalili za mwisho wa dunia huwa ziko wazi wazi hasa pale mtu/watu wanapoKuja na hoja za Kumdhihaki Allah.

Ipo siku utakutana naye "Yaumil Qiyama" then utajua kuwa Dunia na vilivyomo ndani viliumbwa na nani!

We endelea na huo mchezo wako wakitoto eti ili Upate Comment nyingi.

Nakusikitikia sana rafiki yangu, Hasa nikikumbuka wahenga walivyosema
"Sikio la kufa halisikii dawa"
 
Dah uzi huu umenifanya nicheke sanaa kwa aina ya maswali pamoja na baadhi ya majibu ya watu
 
Mbona kwenye aya ya mwisho nimeeleza kila kitu...kama mtu unaona haya mambo ni dhihaka kwasababu unayajua, tulia watu wanijulishe mimi sijui,....kama una japo uelewa kidogo jibu walau swali moja....siyo unakuja hapa kulalamika pasipo sababu!!!
 
[QUOTE uid=292576 name="CHAMITON" post=17105195]
11.Mungu mbona kwenye maandiko yako umechochea sana utumwa(slavery)? kwani tukiishi kwa usawa haikupendezi
hili swali lako limenigusa mno.. ukifikiria kwa umakini utajua kwanini wazungu walileta dini ya kikristo.. dini ya kikristo inafundisha kuwa na huruma, kuwa wanyenyekevu, kuwa watu wa kutokuhoji vitu.. wakati wa ukoloni mababu zetu walikua watata sana yaani hawatii mamlaka ya mkoloni, ndo maana wakoloni wakaintroduce huu ukristo kwa waafrika ili wawe na roho ya huruma, wawe wanyenyekevu, yaani kwa kizungu unaweza kusema walitujenga tuwe SUBMISSIVE.

Kwa maana hiyo basi chochote mwafrika alichokua anatendewa na mzungu, mafundisho ya biblia kutoka kwa wamisionari yaliwaelekeza kuwa watu wa kukubali yanayotokea, NDO ULE MSTARI WA BIBLIA UNAOSEMA AKUPIGAE SHAVU LA KUSHOTO, MGEUZIE PIA NA LA KULIA. Kwamba mwisho wa dunia huyo mkoloni ataenda kuchomwa moto.

Kwa maana hiyo basi, neno la Biblia lilikua faraja sana kwa watumwa kwa kuwa neno liliwaambia, hao wakoloni wanaowatesa wana hukumu yao ambayo ni moto wa jehanam.. UNAONA MZUNGU ALIVYO MJANJA?

Sasa tujiulize swali moja, wote tunajua kwamba mzungu ni mbaguzi, anatuita waafrika masokwe, hapohapo anatuletea biblia tuisome tumwabudu Yesu mwisho wa siku twende tukaishi mbinguni.. hvi hawa jamaa kama huku duniani wanatubagua hivi na kutudhihaki, TUNAAMINI KABISA WAMETULETEA YESU ILI TUOKOKE MWISHO WA SIKU TUKAISHI NAO MBINGUNI??? YANI MZUNGU AMBAE MBAGUZI AISHI NA MWAFRIKA YAAN SOKWE, AISHI NAE MBINGUNI?

TAFAKARI.[/QUOTE]
Umeandika kwa jazba mkuu,
1. wazungu ndiyo walizuia utumwa ambao ulikuwa ni biashara ya waarabu.
2. kama wazungu walidanganya uwepo wa Yesu iweje, na wao wanamuambudu mpaka leo.
3. siyo wazungu wote ni wakristo, siyo wazungu wote wanakuona wewe Sokwe,
4.dini ya kikristo ilienezwa na wazungu africa, lakini haija anzia kwa wazungu.. rejea historia
 
Back
Top Bottom