Maswali 20 kwa Mungu

Maswali 20 kwa Mungu

Kizazi cha nyoka kinahoji uwepo wa Mungu na uwezo wake.
 
nashukuru dunia imenza kupambazuka na watu tumejua mungu hayupo.
ila naona wengi bado wamelala na wakiamka nao watajua mungu hayupo.
Mkuu ukipata muda ebu uje PM, kuna mambo ya kujadili mengi mno.
 
Mkuu ukipata muda ebu uje PM, kuna mambo ya kujadili mengi mno.
mkuu embu niambie ktk hayo maswali kwasaizi nani atakupa majibu? labda mm nikisaidie jibu moja, biblia inasema mungu alimuumba binadamu kwa mfano wake na mtu wa kwanza ni kumuumba alikuwa ni adamu na kwamaana hiyo mungu alikua ni mwanaume.

Ila kwa saizi huyo mtu aliyekuwa anajiona ni mungu alisha kufa na alijua ipo siku atakufa na ndio maana aliandika vitabu kama angejua ataishi milele angesipo angaika kuandika vitabu hata hayo mswali angekuwa ameisha kujibu zamani sana.
 
mkuu embu niambie ktk hayo maswali kwasaizi nani atakupa majibu? labda mm nikisaidie jibu moja.
biblia inasema mungu alimuumba binadamu kwa mfano wake na mtu wa kwanza ni kumuumba alikuwa ni adamu na kwamaana hiyo mungu alikua ni mwanaume.
ila kwa saizi huyo mtu aliyekuwa anajiona ni mungu alisha kufa na alijua ipo siku atakufa na ndio maana aliandika vitabu kama angejua ataishi milele angesipo angaika kuandika vitabu hata hayo mswali angekuwa ameisha kujibu zamani sana.
Hahahahaaaaa una maanisha Mungu alisha kufa??? mkuu umetia fora....siwezi kuimagine mazishi yake yalikuwaje lol!
 
Hahahahaaaaa una maanisha Mungu alisha kufa??? mkuu umetia fora....siwezi kuimagine mazishi yake yalikuwaje lol!
ebu fikiria yesu mwenyewe alipigiliwa misumari vile lakini baada ya miaka 600 ndio walikuja kugundua kwamba yesu alikua ni Mungu.

Kwahiyo hata huyo mtu ambaye alikua anajiona ni mungu unaweza ukute mazishi yake yalikuwa ni ya kawaida sana, ila ukipenda hata ww kuwa mungu unaweza na watu wakakuabudu. vizuri kabisa na watu wakiwa na shida wakakukimbilia kukuomba wewe. na wakaachana na yule mungu aliye kufa zamani sana.
 
ebu fikiria yesu mwenyewe alipigiliwa misumari vile lakini baada ya miaka 600 ndio walikuja kugundua kwamba yesu alikua ni mungu.
kwahiyo hata huyo mtu ambaye alikua anajiona ni mungu unaweza ukute mazishi yake yalikuwa ni ya kawaida sana.
ila ukipenda hata ww kuwa mungu unaweza na watu wakakuabudu. vizuri kabisa na watu wakiwa na shida wakakukimbilia kukuomba wewe. na wakaachana na yule mungu aliye kufa zamani sana.
Hapa kuna mambo ya kujadili kwa kina zaidi....wacha muda upatikane tutaelezana vzr mkuu.
 
ebu fikiria yesu mwenyewe alipigiliwa misumari vile lakini baada ya miaka 600 ndio walikuja kugundua kwamba yesu alikua ni mungu.
kwahiyo hata huyo mtu ambaye alikua anajiona ni mungu unaweza ukute mazishi yake yalikuwa ni ya kawaida sana.
ila ukipenda hata ww kuwa mungu unaweza na watu wakakuabudu. vizuri kabisa na watu wakiwa na shida wakakukimbilia kukuomba wewe. na wakaachana na yule mungu aliye kufa zamani sana.
Bible ina mambo mengi tusiyoyajua, imeandikwa kwa ufundi wa hali ya juu, nasoma kitabu cha David Flynn kinaitwa TEMPLE AT THE CENTRE OF TIME.. ukisoma unaona vitu vilivyoandikwa kwenye bible vipo mathematically calculated.
 
Sawa ww endelea kuamin hayupo ukifa ukakutana nae utajipendekeza tu.
Utumwa hata misri(arabs) na wa israel(wayahudi) walitawaliwa kwahyo we amin unachoamin ili usiseme kitu hakipo angali hujakiona
 
Sawa ww endelea kuamin hayupo ukifa ukakutana nae utajipendekeza tu.
Utumwa hata misri(arabs) na wa israel(wayahudi) walitawaliwa kwahyo we amin unachoamin ili usiseme kitu hakipo angali hujakiona
unapo sema ukifa ndio utakutana na mungu kwani wewe umetokea wapi?
na kwanini usikutane na mungu huko uliko toka.
 
17.Baada ya Kaini kumua Abeli ulimuuliza Kaini ndugu yako yupo wapi, hivi ni kweli hukujua alipokua Abeli?
-------------------------------------------
Simple Fact:
Niliiba shilingi 20 zamani nilipokua mdogo nikaificha ili kesho niende nayo shule, kumbe baba yangu kaona kila kitu mpaka na sehemu nilipoificha. Baadae akaja kuniuliza kuna shilingi ishirini ilikua hapa vipi umeiona ? naomba unijibu je baba hakua ameiona ndo maana aliniuliza?
 
Ngoja na mimi nijaribu kukujibu kulingana na biblia,kwanza elewa kuwa mambo ya Mungu ni ya siri, na yaliyofunuliwa kwetu ni yetu sisi na watoto wetu. Kumb 29:29. Mungu alipomuumba mtu wa kwanza alimwita Adam Mwz 5:2,kuhusu tiba ya kuimbewa au Hospital inategemea unavyoumwa, lakini madaktari ni moja ya karama ambazo Mungu anatoa.

Kuhusu kuoana Yesu aliwajibu mafalisayo wazi,aliyewaumba mwanzo aliumba mke na mume, ni ugumu wenu tu ndo maana ikawepo talaka. Kuhusu watu kuwa na huzuni kwa sababu ya ndugu zao kuwa jehanamu,halipo hilo Yesu anasema Yoh.16:23 yapo mengi sana majibu yake Yesu alisema mwapotea kwa sababu hamjui maandiko wala uweza Mat 22:29, Mat 19:8
 
17.Baada ya Kaini kumua Abeli ulimuuliza Kaini ndugu yako yupo wapi, hivi ni kweli hukujua alipokua Abeli?
-------------------------------------------
Simple Fact:
Niliiba shilingi 20 zamani nilipokua mdogo nikaificha ili kesho niende nayo shule, kumbe baba yangu kaona kila kitu mpaka na sehemu nilipoificha. Baadae akaja kuniuliza kuna shilingi ishirini ilikua hapa vipi umeiona ? naomba unijibu je baba hakua ameiona ndo maana aliniuliza?
Je kuna tofauti kati ya Mungu na Baba yako??? je kama Baba yako angekuwa anakuona wakati unaiba, si angekuzuia usije tenda kosa??? Mbona Mungu hakuzuia mauwaji ya Abeli???
 
Ngoja na mimi nijaribu kukujibu kulingana na biblia,kwanza elewa kuwa mambo ya Mungu ni ya siri,na yaliyofunuliwa kwetu ni yetu sisi na watoto wetu. Kumb 29:29. Mungu alipomuumba mtu wa kwanza alimwita Adam Mwz 5:2,kuhusu tiba ya kuimbewa au Hospital inategemea unavyoumwa,lakini madaktari ni moja ya karama ambazo Mungu anatoa. Kuhusu kuoana Yesu aliwajibu mafalisayo wazi,aliyewaumba mwanzo aliumba mke na mume,ni ugumu wenu tu ndo maana ikawepo talaka. Kuhusu watu kuwa na huzuni kwa sababu ya ndugu zao kuwa jehanamu,halipo hilo Yesu anasema Yoh.16:23 yapo mengi sana majibu yake Yesu alisema mwapotea kwa sababu hamjui maandiko wala uweza Mat 22:29, Mat 19:8
Usiruhusu tena akili yako itawaliwe na siasa....maana kila kitu utakifanya kisiasa.
 
JIBU NO 1

"Mimi MUNGU niliosema nimemuumba mwanadamu kwa mfano wangu sikumaanisha kimaumbile kwani mimi roho

hivyo basi nilimaanisha binadamu huyu anafanana nami kiroho.

KUMBUKA; Siku zote mfano sio kama kitu halisi ila ina fanana na kitu halisi.

roho ya MWAFRIKA MZUNGU MUARABU mwanamke na mwana mme haina utofauti ila zote zinafanana na "SISI"
Roho sio sura na mfano wa Mungu. Mungu alimuumba binadamu kwa sura na mfano wake alimaanisha hivi, atamtofautisha na viumbe wengine, mfano wewe ukisema utaliunda gari kwa umbo lako ulitofautishe na magari mengine, huna maana gari litakuwa na miguu mikono kichwa kiwiliwili n.k bali gari lako litakuwa na umbo la pekee tofauti na magari mengine hata mtu akiliona atajuahili ni ubunifu wa Longi mapexa.
 
Bible ina mambo mengi tusiyoyajua, imeandikwa kwa ufundi wa hali ya juu, nasoma kitabu cha David Flynn kinaitwa TEMPLE AT THE CENTRE OF TIME.. ukisoma unaona vitu vilivyoandikwa kwenye bible vipo mathematically calculated.

Pastor,

Please forgive me to use the words, "Penises." I admits i use the word a get your attentions hopping you answer my letter of the thousand you receives ever month.

I very sincere about my question. I just turn 17 and allow to read Bibles by myselfs. So there is these verse I am curiousity about how difference people was's in Bible times. The verse say:

There she lusted after her lovers, whose genitals were like those of donkeys and whose emission was like that of horses - Ezekiel 23:20

I looked up the word genitals in the dictionary and it say, Penis! OMG! LOLS!!! Sorry!!!

So Pastor, did mens in Bible times has penises the size of donkeys?

Thats is VERY BIG! How is that possibles? Is true? HMMM... OMG! LOLS! WHYYY??  

Stacey-Lynn
Landover Baptist Academy for the Saved
Age 17

Stacey-Lynn,

The Bible is certainly full of wonderful amazing facts, but accepting the fact that folks lived to be over 800 years old is a whole lot easier to swallow than believing that every single man in the Old Testament walked around town with giant donkey-sized tallywhackers and balls the size of grapefruits! Good Heavens! It might explain why they wore robes back then, though! Can you imagine trying to stuff a donkey dong into a pair of Wrangler jeans?

Stacey-Lynn, what you need to understand is the context of the verse you are quoting. Ezekiel 23:19 teaches us that a woman "played the harlot in the land of Egypt." So, this whole giant donkey dong situation you are so curiously puzzled about was localized to Egypt-land. You see?

I've heard liberals, like Presbyterians and Methodists try to argue that men in Egypt were running around with donkey tallywhackers flappin' between their legs because of some collateral effect from one of God's plagues during the time of Moses. They say it was sort of like the things that happened to the folks in Chernobyl - where God punished Communist children by giving them extra appendages and nipples on their thumbs because their parents used nuclear devices without His blessing from the United States of America.

But all of that's hogwash, see? Stupid liberals wouldn't have to waste their time trying to make sense of anything at all if they'd just read the King James 1611 Bible! In fact, you wouldn't even be asking me a question about men with donkey penises if you weren't reading the pornographic 2010 New International version of the Bible! Shame on you, Stacey-Lynn! Shame!

After you read this letter, you need to burn that Bible! I am also going to call your parents and find out who gave it to you, and when I do, that person will be reported to the police for distributing pornography to a minor!

Stacey-Lynn, The King James 1611 version of the Bible, or as I like to call it, the Real Bible
emoji769.png
, doesn't use the word, genitals (as you quoted) in Ezekiel 23:20. It uses the word, flesh. The Real Bible
emoji769.png
says:

"...she doted upon their paramours, whose flesh is as the flesh of asses, and whose issue is like the issue of horses."

So, the fact is - according to Real Bible
emoji769.png
, Egyptian men had some mighty hairy hineys in their day! And they pranced around like horses, neighing whenever any issue came up!

God's word never changes! Take my word for it, Landover Baptist's first missions trip to Cairo included a visit to an Egyptian bath house and that's the last time the Lord Jesus Christ ever called anyone in this church back to Egypt!

Stacey-Lynn, I will be calling your parents as my Godly schedule permits to set up a counseling appointment with Dr. Edwards to rehabilitate you from your exposure to the 2010 New International Pornographic version of the Holy Bible.

Sincerely,

Pastor Deacon Fred
CEO
Head Pastor
Landover Baptist Church
 
Roho sio sura na mfano wa Mungu. Mungu alimuumba binadamu kwa sura na mfano wake alimaanisha hivi, atamtofautisha na viumbe wengine, mfano wewe ukisema utaliunda gari kwa umbo lako ulitofautishe na magari mengine, huna maana gari litakuwa na miguu mikono kichwa kiwiliwili n.k bali gari lako litakuwa na umbo la pekee tofauti na magari mengine hata mtu akiliona atajuahili ni ubunifu wa Longi mapexa.
Mkuu umepotea kabisa! yaani niunde kitu kwa mfano wa jinsi nilivyo bado kisifanane na mimi??? na unavyosema Mungu alimaanisha.....ulijuwaje kuwa Mungu alimaanisha hivyo??? kwani ulikuwa kwenye mawazo yake???
 
Back
Top Bottom