Kubwalijalo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 364
- 290
GoodUsiwe unaangalia picha za ngono.
GoodUsiwe unaangalia picha za ngono.
Kuna jamaa tangu 2003Toka 2012 niko chamani na hakuna madhara. inanisaidia sana kutom cheat my wife hasa nikizingatia mikataba yetu. Nitaacha nikitulia masikani
Inaanza na mindset yako sex is all in the mind..mwache anyetukeeEffect za nyeto sio za muda mfupi madhara yake yanakuwa baadae sana na ndo maana baadhi ya watu hupiga bila kuona shida unaweza fanya nyeto then ukaenda fanya sex ukajiona uko perfect sana ila nakuambia ukwel utaujua baadae
Wewe Chizi. Baada yamsaidi kutatua tatizo wewe unampeleka kuharibikiwa zaidi. Haya akisha kumpata wakufanya nae zinaa ikikumbana na Gonjwaa hatari utamshauri nini tena utamshauri.
Nilishauza smartphone miez mitatu sikufanya iyo kitu naliishi vizuri tu ila nilivyonunua tu tatzo likarud kwa kasi.Acha kutumia smartphone kabs mwaka mmoja tu safi technologia ndo mchawi wako basi mengine bwebwe tu unaandika kwenye sm yako upo kwenye magroup ya sex kibao tena hadi leo upo kwenye group la watsapp unasubiri video za gwajiboy kisa umeambiwa hipo inakuja badilika weka bond smartphone hela fungua hata banda la chips mwaka tu utarudi na habari mpya
Kiukweli Kama Huna Hela, kuacha punyeto Ni vigumu, angalia tu mwenyewe Kwa kufanya utafiti asilimia kubwa ya wapiga punyeto hawana Hela
Pole kaka sana.... hiyo kitu ni ngumu sana kuiacha inahitaji ukaze moyo kwelikweliNajitahidi kwa mfano jana nilikua mpaka natetemeka yan nilijizuia mpaka
niliota ndoto nafanya mapenzi ucku sasa nkijachafua hamu nikiwa nayo bado ndo nikajichua mpaka leo bro
Nilishauza smartphone miez mitatu sikufanya iyo kitu naliishi vizuri tu ila nilivyonunua tu tatzo likarud kwa kasi.
Siyo ajabu gonjwa hatari kwako unamanisha UKIMWI!!Wewe Chizi. Baada yamsaidi kutatua tatizo wewe unampeleka kuharibikiwa zaidi. Haya akisha kumpata wakufanya nae zinaa ikikumbana na Gonjwaa hatari utamshauri nini tena utamshauri.
Masterbration=masturbationNaombeni msaada jamani mimi nina miaka 22 Sijawahi kufanya zinaa ila nimekuwa ni muumini mkubwa mno wa hii kitu mwaka wa pili sasa nashindwa jinsi ya kuacha.
dah kuepuka hiyo jaribu kuwa mtembezi mchana kutwa kuwa bize sana usitulie home peke yako pepo la nyeto linakuvuta
you will walk with papuchi in hand!!"YOU WILL NEVER WALK ALONE"
Alisikika mpiga punyeto hodari akimfariji mwenzake.