Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,720
- 215,775
Kuna anaemfahamu mume wa Dr Salama Kikwete? Kijana wa kichaga aliebadili dini ili afunge ndoa na mtoto wa aliekuwa raia number moja. Jamaa ni mpiga dili wa hatari, hataki ajulikane kabisa lakini yeye ndiye planner mkubwa wa familia.
hapo kwenye red ninapenda kusema kuwa Albert sio mchagga.
hapo kwenye red ninapenda kusema kuwa Albert sio mchagga.