bigboi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 1,522
- 4,757
Kuna watu mnachanganya mambo hapa sasa sijui ni ushabiki manesema majaji walikuwa wanampigia debe hirman kila wiki jana katoka mnasema wamechakachua matokeo wamemtoa kwa hila wakati kila siku wanampigia debe kuna watu hawapigi kura wanabaki kuwa mashabiki wa kuangalia kingine jana master j kafanya kitendo kibaya sana hivi niambie wale madada wawili misoji watakuwa wanajisikiaje yaani master j kasimama kakunja karatasi kaondoka na salama yaani inamaanisha wale madada hawkustahili kuwa pale