Watajitetea kwa kusema, ni movie mpya itakayotoka hvi karibun, mashabik wao mkae mkao wa kula mana walizingatia uhalisia.
unamaanisha Mbuzi Mzee?Ulikwenda kufanya nini huko?
watoto wataenda kuangalizia kwa jirani na kutest huko huko bora uwaachie hapo hapo usiihamishie chumbani!!hii ndo itakuwa movie mpya kilichobaki ni kuhamishia ka tv changu chumbani mweeeh
Mh.................haya mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, huyu hawezi kuchukua wabunge, ni wasanii wenzake