Mastaa WENU wa Bongo Movies vituko kila kukicha

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
[h=5]Ama kweli mwisho wa dunia umekaribia! Chipukizi wawili wa filamu za Kibongo, Tabasamu Mohamed na Neema Ibrahim, wamekutwa ‘laivu’ wakifanya mambo ya chumbani hadharani.[/h]
 
Mh.................haya mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, huyu hawezi kuchukua wabunge, ni wasanii wenzake
 
Duuuh huku ni kukosa kutambua thamani ya mwili wako...yaan japo hufanywa popote ila huuu ptuuuuu ni zaidi ya kujidharau bado haujanigegeda kwa msitu kama nyoka uiiih...bongo movie kama wamerogwa vile
 
ndio matatizo ya watu wazima kuitana "baby", ona sasa jamaa kuitwa tu baby kawehuka kaamua anyonye nyonyo kabisa...
 
hii ndo itakuwa movie mpya kilichobaki ni kuhamishia ka tv changu chumbani mweeeh
watoto wataenda kuangalizia kwa jirani na kutest huko huko bora uwaachie hapo hapo usiihamishie chumbani!!
 
Mh.................haya mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, huyu hawezi kuchukua wabunge, ni wasanii wenzake


Kama wanavyosema baadhi ya watu, kuwa huyu ni chipukizi. Hivyo baada ya movie kama mbili tatu hivi ndipo ataanza kutafuta wabunge au mapedeshee. Bongo movie ni upuuzi tu, mimi staa wangu ni mke wangu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom