Mastaa WENU wa Bongo Movies vituko kila kukicha

si ndo wanatafuta umaarufu kwa njia za kishetani.......pengine filamu yao inayofuata watauza sana kwani wameshafamika kwa watu kwa mambo yao hayo ya wazi.
 
si ndo wanatafuta umaarufu kwa njia za kishetani.......pengine filamu yao inayofuata watauza sana kwani wameshafahamika kwa watu kwa mambo yao hayo ya machafu.
 
Wote Vilaza tu hawajui kuwa ni ulimwengu wa digitali? Walijua mpiga picha ata edit, isharushwa ivo Tena
 
Back
Top Bottom