KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,321
Jana ameachika,tena ex wake ni memba wa jei ef.
Inategemea!Ndio maana tunakumbushana/elezana.
Sema na nyie wanaume muwe mnawaambia wenzenu kama kuna vitu mngependa wawe wanafanya kwaajili yenu. Sio mnakaa kimya, mnabaki kusikia kwingine alafu badala ya kirudisha somo makwenu mnaenda kusaka huko huko nje anaejua tayari. Mueleze, kama hajui muongoze mpaka afikie kiwango unachotaka wewe.
..happy ending, kweli kabisa. Yote hayo ni ili tu bao lije.Uzi wa 2012.
Since then, so much water has passed under the bridge.
Kuna massage parlour za kumwaga. Lengo ni moja tu - happy ending. Money exchanging hands!
Some women just dont get it.Inategemea na nini???
ππππ nasikia siku hizi pesa π€π€ ndo inaongea Maundumula .Kama pesa hamna hata ukim-hug baby wako anaona kama vile unamsumbua ππSome women just dont get it.
Hawaoni kama hayo yana umuhimu. Utapewa majibu upige kimya and next time hutaulizia tena hizo huduma lol
G bznes πππ ni kama unamuambia "su" Invisible ila sidhani kama kawa mkorofi siku hizi.Enzi huu uzi unaanzaisha Nchi yetu ilikuwa na Demokrasia nzuri japo siyo sana ila ikikuwa inapendeza. Enzi za JK!
Tulikuwa tunahadili mambo kwa uwazi na uhuru bila kuwa na Hofu ya Uzi/ maoni kufutwa, ila baada ya Dikteta uchwaro kuingia madarakani kila kitu kilibadikikaa... Yaan hata huu mchango wangu hapa naona kama utafutwa muda c mrf!!!!
Kabisa. Wakikufanyia massage na usiombe happy ending hawakuelewiSiku hizi kila kitu kimegeuka biashara π₯΄π₯΄
Sijawahi kufanya kosa hilo. Ndiyo maana wakati wa kuchagua nani anifanyie massage geresha, vigezo huzingatiwa π€£π€£Wanaeza wakaanza ku-question uanaume wako π€£π€£
Naam, hili ndo lenyewe sasaMassage ya kupewa na mtu wako na ya kupewa na mtu usiyemjua kwa pesa ni vitu viwili tofauti. Ni sawa na kulinganisha sex ya kununua na inayotolewa ndani ya mahusiano.