MillionHairs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 803
- 406
Mie naona kama vyumba vya upasuaji.....kweli tembea uone....sasa mfano huyo dada kalala hapo...hyo mashine nyeupe pembeni inamfanya nn??
Mkuu Abdulhalim,
Umasikini ndio chanzo cha mambo kama haya. Ukitaka mambo haya yaishe kwenye jamii, njoo na mipango endelevu ya kuondoa umasikini, otherwise tutaendelea kulaumu kumomonyoka kwa maadili, ukahaba, matumizi ya madawa ya kulevya n.k. Umasikini ndiye adui yetu namba moja kwa sasa.
Tiba
MillionHairs Pazuri sana kumbe,nikipita kwa nje naona ni sehemu ndogo,ila majina ya hapo ni shida inatuogopesha hata sie walalahoi maana hapo pembeni pana Billionea Club.
Samahani mkuu huyo mdada wa tatu kwenye hizo picha pia anapatikana hapo million hairs...??
Mkuu, hiyo salon asilimia kubwa ya wateja wao ni maforena...huyo ni moja ya mteja wao ( ni black america from USA)
Mkuu punguza ukoo...ha ha haaa
Lazima niudhurie mahali hapo..hata ikibidi kuyumbisha uchumi wangu....
Ukahaba ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo daima dumu; mwanaume ameumbwa kupata kitu saa na dakika anayotaka yaani mwanamke awe tayari kwa saa na dakika isiyo na jina: angalia sasa matatizo tuliyonayo kwa vidada vya siku hizi eti mtu ni girlfriend wako lakini papuchi ufanye kuvizia siku akiwa off; mara kasafiri, mara bosi hivi na vile shida yote ya nini wakati inajulikana vipo vinavyosubiria tena kwa maombi?
Ha ha haaa...check mteja mwingine huyo (huyo ni m-bongo) lakini ni kuku wa kizungu na siyo wa kienyeji.
Ha ha haaa!! Nimecheka sana!...ndiyo maana nilikuambia toka mwanzo kuwa upuuzi na uchafu huo unafanyika huko huko vichokoroni.
Ha ha haaa...check mteja mwingine huyo (huyo ni m-bongo) lakini ni kuku wa kizungu na siyo wa kienyeji.
Ilikuwa sendoff yake mjini piga bei sana
Ila kiukweli alipendeza hahaha
Lazima niudhurie mahali hapo..hata ikibidi kuyumbisha uchumi wangu....
Ha ha haaaa unanifurahisha sana Mrangi...sawa bwana kama ulimpeleka pale basi ukukosea. Urembo unaishi pale.
Ingawa hii thread ina miaka 8 sasa
naomba utusaidie nasikia Nairobi wameipitisha sasa kuna Madanguro yenye Leseni
au Biashara hii ya Chap-chap ni halali kwa Mji wa Nairobi kweli? au uzushi
Ha ha haaaa unanifurahisha sana Mrangi...sawa bwana kama ulimpeleka pale basi ukukosea. Urembo unaishi pale.
Pale shoppers plaza jirani na Tmj hospital ground floor pana salon huwa naiona ninapokwenda supermarket iliyopo hapo ground floor. Nipe ushauri kuhusu hii salon maana inaelekea hili eneo wewe ni mwelewa sana.