Massage Parlours/madanguro

Massage Parlours/madanguro

Ila issue ya huduma ya extra ina ukweli au ni maneno ya ziadi....na utafiti waonesha massage ni kwa watu wenye hela ndio wanafaidi raha
 
Ila issue ya huduma ya extra ina ukweli au ni maneno ya ziadi....na utafiti waonesha massage ni kwa watu wenye hela ndio wanafaidi raha
Inategemea umeenda wapi. Sehemu nyingine hiyo extra ndiyo kipaumbele kuliko massage yenyewe. Tembea uone!
 
Inategemea umeenda wapi. Sehemu nyingine hiyo extra ndiyo kipaumbele kuliko massage yenyewe. Tembea uone!
yaahh ni kweli kabisaa....massage safi sana...na ni biashara inayolipa sana.....
 
Inategemea umeenda wapi. Sehemu nyingine hiyo extra ndiyo kipaumbele kuliko massage yenyewe. Tembea uone!

Haha..watu walivyo na njaa.
Mtu anaenda kwa ajili ya extra..extra i hope is better
 
Ngoja nitafute leo sehemu yenye massage nzuri baada ya kazi..ili wanikande mgongo wangu...nahisi uchovu mwingi saana
 
Da niliwahi kwenda sinza salon zilizopo opozit na shell ya big bon wanatoa huduma hii
 
Hata Germany mjini Boln kuna mtaa unaitwa Antonio street huo ni ukanda wa makahaba walioenda shule utawapata waislaer wagirik wahind hata waafrica pia wapo
 
Back
Top Bottom