Massage ni hatari kwa ndoa

Massage ni hatari kwa ndoa

Baada ya huduma ya scrub,Dada wa salun akaniuliza utafanya massage half body, (nikamzuga...nitafanyaje massage hapa kila mtu anaingia) Nilivyomaliza kuuliza tu,mlango ukafungwa kwa kitasa haraka sana

Nikamuuliza kwa nini unafunga mlango wenzako watajua tunafanya tabia mbaya-akasema haina shida, wanajua Niko kazini
(Hapo tayari dushe lishaanza kushikwa),ndio hivyo tena,nishakuwa mteja wa kudumu na kesho naenda tena
Ukieleza utoe na location mkuu
 
fanyia mumeo massage kwa mikono yako dada, anaendaje huko vichochoroni na wewe upo acha uvivu mama!!!!!!
 
Siku nikimkuta Mume wangu anashikwa shikwa sijui ndio massage atajuta ..
Nyambafff starehe za kijinga.
Kama wewe hujui kuifanya unawaachia wenye utaalam wao wanakusaidia na pesa unawalipa
Wewe unaenda naye anafanyiwa massage mbele yako

Mkitoka unambanjua kweli kweli maana atakuwa kalainika kama andaz harafu siku nyingine atakuomba umpeleke wewe mwenyewe

Usijali
 
Baada ya huduma ya scrub,Dada wa salun akaniuliza utafanya massage half body, (nikamzuga...nitafanyaje massage hapa kila mtu anaingia) Nilivyomaliza kuuliza tu,mlango ukafungwa kwa kitasa haraka sana

Nikamuuliza kwa nini unafunga mlango wenzako watajua tunafanya tabia mbaya-akasema haina shida, wanajua Niko kazini
(Hapo tayari dushe lishaanza kushikwa),ndio hivyo tena,nishakuwa mteja wa kudumu na kesho naenda tena
aisee we ulienda massage za manzese, huko utapata ukurutu mkuu. chumba cha kunyolea na cha massage ni icho icho, sasa kuna kitanda kweli hapo? ukisogea hata sinza tu, utakuta kuna chumba spesho, ukiingia kule ni self-contained kuna bafu hadi choo huko huko na mlango unafungwa mnakuwa wawili tu. unaweza kuoga na kufanya chochote. bei yake sasa, duh....
 
Mi nachukiaga huku nikisikia utamu sasa sijui ni nini??? Mi huwa napenda ninyoe na nioshe kichwa tu basi, ila sasa anavyoniosha na kuingiza vidole kwenye masikiooooooo! hatareeee
 
siwezi kukubali kahaba aninyoe vuziz, na hakika nimekoma, wengi wana ukimwi sana na wamejizira, usiwaone vile, wapo kusambaza na hawana hata huruma. we mtu akianza kukushika shavu tu wakati wa scrub tayari anafanya kwa nia ya kukulainisha ili ufanye naye, amefanya na wangapi? tena everyday.....wengi wa hao wa salon za uchochoroni walikuwa mahakaba barabarani na mabar medi. wamechoka kabisa na wako tayari hata kufa, hawajali maisha ya mtu washajisusa.
 
We nielekeze tu chuo maana vyuo siku hizi ni vingi so naweza bahatisha kinachotoa hiyo kozi
Ingia youtube search "body massage" ujionee wanavyofanya,utapata training huko. Nenda duka la cosmetics ulizia olive oil for massaging utapata kamfanyie mumeo.

Au locally tumia machicha ya nazi changanya na karafuu.
 
siwezi kukubali kahaba aninyoe vuziz, na hakika nimekoma, wengi wana ukimwi sana na wamejizira, usiwaone vile, wapo kusambaza na hawana hata huruma. we mtu akianza kukushika shavu tu wakati wa scrub tayari anafanya kwa nia ya kukulainisha ili ufanye naye, amefanya na wangapi? tena everyday.....wengi wa hao wa salon za uchochoroni walikuwa mahakaba barabarani na mabar medi. wamechoka kabisa na wako tayari hata kufa, hawajali maisha ya mtu washajisusa.
Umenielewa vingine mkuu. Nachosema ni kuwa kuna zile saloon za unanyolewa Kichwa chenye ubongo sio kile cha nyama tu halafu unaenda kuosha ili usitembee na amnywele mtaani.

Kama kuna wanaonyoa hata sehemu za siri saloon basi hilo Janga la nchi, Binafsi sifanyi hata awe ananinyoa miss world.
 
aisee we ulienda massage za manzese, huko utapata ukurutu mkuu. chumba cha kunyolea na cha massage ni icho icho, sasa kuna kitanda kweli hapo? ukisogea hata sinza tu, utakuta kuna chumba spesho, ukiingia kule ni self-contained kuna bafu hadi choo huko huko na mlango unafungwa mnakuwa wawili tu. unaweza kuoga na kufanya chochote. bei yake sasa, duh....
Mkuu umesoma na kuelewa nilichoandika?

Ninaishi Sinza huu mwaka wa 10
 
Mie niliposikiaga saloon za kike wapo wacongo na wanapendwa na dada zetu nkaanza kuwa na wasiwasi lakini sku hizi najua utaalam wao wala hainisumbui. Mcongo anakaa hata masaa 4 anandaa mbo nkasema mbona balaa....
 
Halafu dada wa massage ndo kama huyu
898451bc3663efb0682af295008cef99.jpg
 
Back
Top Bottom