Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Pamefungwa, vipi tongozo au salamu?Evelyn Salt naomba kuja PM vipi mlango uko wazi.
Pamefungwa, vipi tongozo au salamu?Evelyn Salt naomba kuja PM vipi mlango uko wazi.
Aisee umenitisha sana.. naanza kwenda kwa kinyozi chini ya mti wa muembe.. isiwe tabu.Siku nikimkuta Mume wangu anashikwa shikwa sijui ndio massage atajuta ..
Nyambafff starehe za kijinga.
Ingia YouTube mkuu utapata msaadaIvi hakuna mahali wanatoa kashort kozi ka how to massage maana c wote wenye utaalamu uliotukuka
Nisipojua sawa ila siku nikijuaa , atajuta kwa nini alinioahahaha. utajuaje!?
Nikiona vipi nakupitisha wembe mwenyew teh tehAisee umenitisha sana.. naanza kwenda kwa kinyozi chini ya mti wa muembe.. isiwe tabu.
Una mume kumbe!!?? hongeraSiku nikimkuta Mume wangu anashikwa shikwa sijui ndio massage atajuta ..
Nyambafff starehe za kijinga.
nini hujaelewaMbona sikuelewi salon za kiume halafu wakianza kushikwa wanamalizana akina nani hapo weka vizuri meaning
NyoooooWadada wa saloon mafundi hatariii/..
Hakika tunafarijika sana./

Ndio mbona siku nyingi.Una mume kumbe!!?? hongera
Hili neno linanipandishaga wazimu sana mkilitamka.Nyooooo![]()