Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,568
- 104,506
Basiiii! Wengine walijue hilo na siyo kumchukulia kiboyaboya.Mtu apewe tano zake pale inapobidi tena akiwa hai ili afaharike nasi.Huyu bwana nilishawahi kumuelezea wakati fulani maana mimi namfahamu toka akiwa anasoma sekondari huko Tabora,anaujua muziki haswaa.Alikuwa anaimba na kucheza disko hakuna mfano wake.Nilishiriki kumuandaa kwa ajili ya mashindano ya disko ya kitaifa dar es salaam,mimi kazi yangu ilikuwa kumletea nguo,kaseti za miziki na music system kwakuwa nilikuwa nasafiri kwenda nje mara kwa mara.Sasa mashindano ya kucheza disko yalifanyika dar na dj muandaaji alikuwa jamaa mmoja akiitwa choggy sly.Fainali ilikuwa baina ya abdul shalamar na masoud masoud ambae jina lake la muziki akiitwa nigger j. Nyie,acheni huyo masoud masoud,ni habari nyingine.Alimshinda Shalamar kwa kila kitu.Kwa asili yeye ni suriyama,mama yake ana asili ya kiarabu na baba yake ni mbantu
Sijajua kama ni ndugu.@fimboyaukwaju atakuwa anajua hilo.Nadhani alikuwa analeta mbwembwe huku alikaribu kuwaaminisha vijana kuwa kupambana ndiyo kila kitu.
Hivi jamaa mbona anafanya na Ibrahim Masoud aliyekuwa mchmbuzi wa mchezo pale Clouds FM, ni ndugu?
si ndio yule mtangazaji mzee kijana kibonge zaid pale tbc taifa au?Hv hata unamufahamu Manju wa muziki wewe?
Suriyama mwenzangu fimboyaukwaju tusaidie katika hili.Sijajua kama ni ndugu. @fimboyaukwaju atakuwa anajua hilo.
Kwa ufupi,ujuvi wake/kipaji cha lugha mbalimbali ndiyo msingi mkuu wa kujua kucheza vizuri sana katika uwanja na kumiliki engo zote kikamilifu.Mzee Masoud anajua Kiingereza cha kuzungumza .
Jamaa anaujua muziki deep down,Leo nilikuwa namtafakari Masoud Masoud....nikagundua ni baadhi ya watu wachache sana Dunia,,,,, katika ufahamu na uchambuzi wa muziki.
Kwa sisi waswahili wa ki Tanzania hatumpi ile hadhi anayostahili au pengine hatuna habari hii ni hazina kubwa kiasi gani.
Kwa mataifa yenye mipangilio ya mambo watu kama hawa hutumika kurithisha vijana.
Hutumika kutoa Elimu aliyonayo pia kupata mialiko mbalimbali ku'' inspire new generatuion'' angalau waweze kuvuna hazina iliyopo kwa manufaa ya Taifa.
Nachelea kusema tumjengee sanamu.
Lakini amini kwamba pengine inaweza kuchukua miaka zaidi ya elfu kwa Tanzania kumpata mtu kama Masoud Masoud mwingine.
TRUST ME.
Yote ningekubali kuhusu ubonge, plz huyo utakuwa umemfananisha na Wassira.si ndio yule mtangazaji mzee kijana kibonge zaid pale tbc taifa au?
ok.Yote ningekubali kuhusu ubonge, plz huyo utakuwa umemfananisha na Wassira.
Ulivyoridhika na maelezo ya kina kutoka kwake,haukumwambia "twilumba" ili ajibu "wawezya woo"?Jamaa anaujua muziki deep down,
Kuna wakati nilikuwa interested na kuwajua kwa undani kool and the gang talking about 80's hits(watoto wa 90 na 2000 am sorry) aisee jamaa alinichambulia tangu wameanza hadi mwaka ule ambao ndo nilimuuliza na habari za recent concerts... zaidi alanipa na bonus info kuhusu Nu shoes na sababu kwa nn waliitwa jina hilo ngoma zao kali na mengi kuhusu 80's Funkies.... tukapigq sana story kuhusu soultrain ambayo baadae ndo ilikuja kuzaa hii BET music awards ya sasa. Kwa kifupi kama unaupenda Muziki Masoud ana habari za muziki huo ambazo huenda hata online libraries hawana....
Hapana,hawana udugu,baba yake ibrahimu masoud alikuwa ni mwanamichezo na alikuwa mpigana ngumu,akifanya kazi kampuni ya viatu ikiitwa Bora na amewahi kufaya kazi duka la bora wilaya mmoja ya nzega mkoa wa tabora.Nadhani alikuwa analeta mbwembwe huku alikaribu kuwaaminisha vijana kuwa kupambana ndiyo kila kitu.
Hivi jamaa mbona anafanya na Ibrahim Masoud aliyekuwa mchmbuzi wa mchezo pale Clouds FM, ni ndugu?
Ngumi pamoja na akina Ibrahim Marwa.Hapana,hawana udugu,baba yake ibrahimu masoud alikuwa ni mwanamichezo na alikuwa mpigana ngumu,akifanya kazi kampuni ya viatu ikiitwa Bora na amewahi kufaya kazi duka la bora wilaya mmoja ya nzega mkoa wa tabora.
Huyu ni miongoni mwa malegendari wa tasnia ya muziki walionchi hLeo nilikuwa namtafakari Masoud Masoud....nikagundua ni baadhi ya watu wachache sana Dunia,,,,, katika ufahamu na uchambuzi wa muziki.
Kwa sisi waswahili wa ki Tanzania hatumpi ile hadhi anayostahili au pengine hatuna habari hii ni hazina kubwa kiasi gani.
Kwa mataifa yenye mipangilio ya mambo watu kama hawa hutumika kurithisha vijana.
Hutumika kutoa Elimu aliyonayo pia kupata mialiko mbalimbali ku'' inspire new generatuion'' angalau waweze kuvuna hazina iliyopo kwa manufaa ya Taifa.
Nachelea kusema tumjengee sanamu.
Lakini amini kwamba pengine inaweza kuchukua miaka zaidi ya elfu kwa Tanzania kumpata mtu kama Masoud Masoud mwingine.
TRUST ME.
Kweli unamjua Masoud Masoud au DJ Nigger. Kama wewe sio Born City basi utakua unawajua hao jamaa hasa yule marehemu aliyekua anakaa kule chini Kawe karibia na daraja la MalecelaHuyu bwana nilishawahi kumuelezea wakati fulani maana mimi namfahamu toka akiwa anasoma sekondari huko Tabora,anaujua muziki haswaa.Alikuwa anaimba na kucheza disko hakuna mfano wake.Nilishiriki kumuandaa kwa ajili ya mashindano ya disko ya kitaifa dar es salaam,mimi kazi yangu ilikuwa kumletea nguo,kaseti za miziki na music system kwakuwa nilikuwa nasafiri kwenda nje mara kwa mara.Sasa mashindano ya kucheza disko yalifanyika dar na dj muandaaji alikuwa jamaa mmoja akiitwa choggy sly.Fainali ilikuwa baina ya abdul shalamar na masoud masoud ambae jina lake la muziki akiitwa nigger j. Nyie,acheni huyo masoud masoud,ni habari nyingine.Alimshinda Shalamar kwa kila kitu.Kwa asili yeye ni suriyama,mama yake ana asili ya kiarabu na baba yake ni mbantu
Katika mambo ambayo namshukuru sana mama yangu ni khs kushukuru kwa jambo lolote hasa jambo jema.Ulivyoridhika na maelezo ya kina kutoka kwake,haukumwambia "twilumba" ili ajibu "wawezya woo"?
Aliwahi kusema alipotoka Kijijini kwao hata kiswahili alikuwa hakijui vizuri. Kupambana ndiyo Kila kitu!
Jamaa aliaanza kujua lugha ya kingereza kabla ya Kiswahili. Alisomea Shinyanga Ile shule inayotumia mtaala wa Cambridge.Mtu atokee Tabora ninayoijua asikijue kiswahili? Alikuwa anaweka mbwembwe tu.Watu wa Tabora wanajua kiswahili isipokuwa wachache lafudhi yao ya kinyamwezi/kisukuma awali huwa kikwazo kidogo.
Ngoja nitafute interviews zake.Jamaa aliaanza kujua lugha ya kingereza kabla ya Kiswahili. Alisomea Shinyanga Ile shule inayotumia mtaala wa Cambridge.
Kujua mengi kumuhusu Manji wa muziki tafuteni interview aliyowahi kufanya na Salam Jabir zaidi ya miaka 13 iliyopita.
Anhaa!Hapana,hawana udugu,baba yake ibrahimu masoud alikuwa ni mwanamichezo na alikuwa mpigana ngumu,akifanya kazi kampuni ya viatu ikiitwa Bora na amewahi kufaya kazi duka la bora wilaya mmoja ya nzega mkoa wa tabora.