ok.Leo nilikuwa namtafakari Masoud Masoud....nikagundua ni baadhi ya watu wachache sana Dunia,,,,, katika ufahamu na uchambuzi wa muziki.
Kwa sisi waswahili wa ki Tanzania hatumpi ile hadhi anayostahili au pengine hatuna habari hii ni hazina kubwa kiasi gani.
Kwa mataifa yenye mipangilio ya mambo watu kama hawa hutumika kurithisha vijana.
Hutumika kutoa Elimu aliyonayo pia kupata mialiko mbalimbali ku'' inspire new generatuion'' angalau waweze kuvuna hazina iliyopo kwa manufaa ya Taifa.
Nachelea kusema tumjengee sanamu.
Lakini amini kwamba pengine inaweza kuchukua miaka zaidi ya elfu kwa Tanzania kumpata mtu kama Masoud Masoud mwingine.
TRUST ME.
HapanaNa mziki wa gospel anachambua mkuu
Hardworking and devotion and the real passion!Na jamaa anajua lugha nyingi za kimataifa, siyo hawa watangazaji wengine ambao hawana jipya zaidi ya yow! Yow!
Nilisikitika sana hapo siku za nyuma (miaka kama 10 nyuma)kuna member mmoja humu JF alimuita "yule tapeli"!Alinishangaza sana kwa sababu sikujua alikusudia "engo" ipi!Yuko vizuri kwakweli.
Aliwahi kusema alipotoka Kijijini kwao hata kiswahili alikuwa hakijui vizuri. Kupambana ndiyo Kila kitu!Hardworking and devotion and the real passion!
Nilisikitika sana hapo siku za nyuma (miaka kama 10 nyuma)kuna member mmoja alimuita "yule tapeli"!Alinishangaza sana kwa sababu sikujua alikusudia "engo" ipiYuko vizuri kwakweli.
Mtu atokee Tabora ninayoijua asikijue kiswahili? Alikuwa anaweka mbwembwe tu.Watu wa Tabora wanajua kiswahili isipokuwa wachache lafudhi yao ya kinyamwezi/kisukuma awali huwa kikwazo kidogo.Aliwahi kusema alipotoka Kijijini kwao hata kiswahili alikuwa hakijui vizuri. Kupamba ndiyo Kila kitu!
Juma Kaseja Juma,Inaweza nisiwe sahihi moja kwa moja lakini mara nyingi hapa kwetu wasanii wenye jina linalojirudia hua ni hatari sana mfano Omari Omari🙌🙌
Hv hata unamufahamu Manju wa muziki wewe?
Huyo ni mbobezi wa ukwapuzi wa mali za umma,utamkaji wa kienyeji wa maneno gentleman na guys tu.Hv hata unamufahamu Manju wa muziki wewe?
Huyu bwana nilishawahi kumuelezea wakati fulani maana mimi namfahamu toka akiwa anasoma sekondari huko Tabora,anaujua muziki haswaa.Alikuwa anaimba na kucheza disko hakuna mfano wake.Nilishiriki kumuandaa kwa ajili ya mashindano ya disko ya kitaifa dar es salaam,mimi kazi yangu ilikuwa kumletea nguo,kaseti za miziki na music system kwakuwa nilikuwa nasafiri kwenda nje mara kwa mara.Sasa mashindano ya kucheza disko yalifanyika dar na dj muandaaji alikuwa jamaa mmoja akiitwa choggy sly.Fainali ilikuwa baina ya abdul shalamar na masoud masoud ambae jina lake la muziki akiitwa nigger j. Nyie,acheni huyo masoud masoud,ni habari nyingine.Alimshinda Shalamar kwa kila kitu.Kwa asili yeye ni suriyama,mama yake ana asili ya kiarabu na baba yake ni mbantuLeo nilikuwa namtafakari Masoud Masoud....nikagundua ni baadhi ya watu wachache sana Dunia,,,,, katika ufahamu na uchambuzi wa muziki.
Kwa sisi waswahili wa ki Tanzania hatumpi ile hadhi anayostahili au pengine hatuna habari hii ni hazina kubwa kiasi gani.
Kwa mataifa yenye mipangilio ya mambo watu kama hawa hutumika kurithisha vijana.
Hutumika kutoa Elimu aliyonayo pia kupata mialiko mbalimbali ku'' inspire new generatuion'' angalau waweze kuvuna hazina iliyopo kwa manufaa ya Taifa.
Nachelea kusema tumjengee sanamu.
Lakini amini kwamba pengine inaweza kuchukua miaka zaidi ya elfu kwa Tanzania kumpata mtu kama Masoud Masoud mwingine.
TRUST ME.
Nadhani alikuwa analeta mbwembwe huku alikaribu kuwaaminisha vijana kuwa kupambana ndiyo kila kitu.Mtu atokee Tabora ninayoijua asikijue kiswahili? Alikuwa anaweka mbwembwe tu.Watu wa Tabora wanajua kiswahili isipokuwa wachache lafudhi yao ya kinyamwezi/kisukuma awali huwa kikwazo kidogo
Nilisikitika sana hapo siku za nyuma (miaka kama 10 nyuma)kuna member mmoja humu JF alimuita "yule tapeli"!Alinishangaza sana kwa sababu sikujua alikusudia "engo" ipi!