Masoud Kipanya

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
Kipanya ndie muasisi wa Maisha Plus, naomba nijue imeishia wapi hii Maisha Plus, manake imekuwa kimya sijajua tena itaendelea au ndo kwish nei. Wanajamvi wekeni wazi hapa
 
Hata mimi nataka kujua maana naona kimya hatamchakato haujaanza na hii ndo miezi yenyewe.
 
kila kitu na wakati wake, ukiona kimya basi subiri kidogo ,na kama hakuna kitu basi kwishney......
 
kimya kirefu kina mshindo mkubwa

ukimuona kobe ameinama ujue anatunga sheria

tumpe muda anaweza kuja kivingine
 
Ha ha tegeme mabadiliko saaana TIDO MHANDO ameshaondoka na likuwa anawapa vijana wengi wenye idea mpya chances sasa tegemea back to the conservative ages
 
Baba ubaya inabdid itengenezwe movie yake/ masoud vipi ? fanya mishemishe baba utauza sana
 
kipindi cha maisha plus kitakuwepo si kila mwaka ila kila baada ya miaka miwili..........na kitabaki kuwa pale pale TBC
 
kipindi cha maisha plus kitakuwepo si kila mwaka ila kila baada ya miaka miwili..........na kitabaki kuwa pale pale TBC

alisema masoud katika kipind cha sanaa na ubunifu i thnk kinachorushwa na tbc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom