kuhusiana na uhusiano wa hawa wawili kimapenzi sina uhakika nao kwa sana lakini siku za nyumba ilisemekana Fina wa Mango alikua na uhusiano strong na mmoja ya mabosi waao wa juu na kama kuna ukweli kati yake na KP huenda ikawa ndio sababu ya wao kukatishwa mkataba, nani anapenda kuona wafanyakazi wake wanamgeuka hasa ukizingatia swala la mapenzi. Hapa kuna kitu cha msingi cha kuangalia kama hiyo ndio sababu basi hawa watu wenye vyeo vikubwa kwenye maofisi waache uroho kwani matokea ndio kama hivi unachukua uamuzi ambao unaathiri mpaka maslahi yenu binafsi.
Kama kweli waendelee kwani wanapendeza sana pamoja.
Wish them luck.
Kama kweli waendelee kwani wanapendeza sana pamoja.
Wish them luck.