Jamaa mbona anapona kitambo.....kwani kaacha?nilisoma kwenye web gani sikumbuki kuwa waliacha kazi humo na sababu ni kuwa ni chuki baina yao from other members wa kampuni as wao ndio walikua kama bora hata kipindi chao ndo kilikua chasikilizwa mno na kupendwa..n those kind of stories including kusemwa kuwa eti wawili hao ni mr n mrs wa kisiri siri
Jamaa mbona anapona kitambo.....kwani kaacha?