Masoud Kipanya hii haiko sawa

Masudi kipanya hii ya kidole cha kati haiko sawa....michoro yako daima ni ya busara anaeweza kutafisiri hata mtoto mdogo..hapa ulikosea...binafsi sikuridhika...

kawaida mwanadamu hudhihirisha alivyo kutokana na chuki ama furaha aliyonayo. Masudi amewakilisha kilichokuwa moyoni mwake muda mrefu kwani watanzania wengi huishi maisha tegemezi. kinyume na hivyo itakuwa kiburi na kulewa sifa. ama la sivyo basi anataka aliowachora wapate sababu ya kufidiwa na gazeti hilo!! Kwani mhariri hakuiona katuni hiyo kabla haijachapishwa gazetini? Nasubiri kusikia tamko la BASATA
 
Kijana get life! Feedom of speech and expression.Tatizo kubwa mnataka kila mtu afanyacho kiwafurahishe watawala. Sababu kubwa ni kwamba maisha yenu yanategemea uwepo wao. smell the coffee my friend. Enzi za kuwatukuza watawala zimepita. They should serve us and not otherwise.
 


Chora Na Wewe Ya Kwako Utuwekee. UNAFIKI Tu Unawasumbueni! Mbona Matusi Mengine Mliyonayo Binafsi Hamyakaripii? Mnaboa Sana.
 
Kama hutaki huweka habari full usiiweke kabisa jukwaani.... Katuni unayoisema mbona huiweki sasa
 
Last edited by a moderator:
Katuni ya Mh.Lowassa na Membe......Gazeti la jana Mwananchi.
 


kikubwa tumekuelewa kumbe wewe masudi mwenyewe umekuja kivingine.....kwa hii avata... kikubwa hapa tafsiri kilamtu kivyake lakin kiujumla wake na maono ya wengi ndio unaweza sema mchoraji si sawa..kama vile anavomkwaza babaye akiwa amevaa nguo nusu uchi wakati binti mwenye kuvaa hivo hivo kwa baba mwningne sio tatizo....., kwa mtazamo wako hata kauli zako pia inaonyesha wazi wewe ungechoora kabisa hawana nguo...!!

busara kama chupi...iwe mpya au chakavu sio lazima ivaliwa nje ya nguo nyingne.....
 
Sio busara na mimi kuiweka hapa. Tayari nimeshaona haifai, sasa kuiweka hapa ni kuendeleza ujinga.

sasa unaleta humu JF tufanye nn sisi? Mtafute kipanya umwambie. Hata hivyo inaonyesha hujui katuni inatakiwa iwe vp.
 
Hivi kuna matusi kama kijana mdogo wa chini ya miaka 40 kumpa mhasibu wake ambaye pia ni mtoto sijui wa miaka 18 vibegi vyenye 720m kuwapelekea wazee na mvi zao ili kusaliti dhamira zao!? Tena hao wazee ndio wengine wamechorwa na KP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…