Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Serikali la ajabu kutokea. Tatizo la kutawaliwa na watu wasio na hekima na busara matokeo yake ndo kamatakamata za kijuha.
 
Mbona kama amna media yoyote imetoa taarifa mpaka sasa...?

Kama ni kweli huu ni ujinga wa kiwango cha aina yake....!
 
6c453b29b089719ab1a56a432e108e0b.jpg
teeehhh
 
Mi hapa siuoni uchochezi.. ninachokiona hapa ni kashfa tu kwamba serikali inatumia makalio kufikiri..
Kaka wewe Noma... Kwa kweli you are a great thinker na ndio utamu wa lugha za vibonzo..
Ila Mchoraji hana hatia yoyote maana kaandika serikali na haijulikani ni ipi hata kama atahojiwa hamna cha kumtia hatiani.. ila nimeipenda sana katuni na maelezo yako..
 
Huyu alizoea sana na katuni zake za matusi wamsweke ndani tu mmae
 
HIvi awamu hii mbona haijiamini, very insecure. Mwisho tutakamata hadi wanyama kwa uchochezi!
 
Back
Top Bottom