Masogange atimuliwa South Africa

Masogange atimuliwa South Africa

Yupo ICU alipataje muda wa kufuta pic IG.Naona IG Wema anampa pole Lulu kwani ndo mke wa marehemu?

SI anampa pole mwizi mwenzie wa wanaume za watu, mmh wanaumbuliwa hadharan na umalaya wake, mama lulu ana kazi aseeh khaa
 
Kwa iyo kutoka na mme wa mtu ni bahati au uchuro?
Ni laana ujue kilio cha mke wa mtu hata kama ana madhambi kiasi gani Mungu anakipokea.

Kama mume ana pesa bahat mwenzangu, lulu ana kismati bwana, hatembei na mavuvuzela, khaa ila ana mkosi aswwh
 
Tupe ubuyu

Nasikia lulu anataka kupokonywa magari ya aliyohongwa na marehemu yote yarudi kwa mkewe, kumbe diamond nae alipewa lile gari na jeusi BMW na seky, loh mwanaume anapendwa kuhongwa, nasikia na nyumba kamsaidia yeye kujenga

Apa nina list ya majina ya waliotoka na marehemu, sio wanawake sio wanaume hadi nabaki mdomo wazi na mdomo wangu unavyonuka sasa sitaki mie, nasubiria umbea wa jioni khaa
 
Back
Top Bottom