Masogange atimuliwa South Africa

Masogange atimuliwa South Africa

Binamu, tunda ndie hako kabinti.
Kazuri kweli.Kuna kipindi kalikua kanachepuana na Chameleone kakatikisa ndoa ya watu.
Huyu ni mrithi halali wa Wema Sepetu.Nakwambia mwaka mmoja ujao atakuwa mbali kiskendo.

Tunda ni kitoto kidogo ambae Masogange ni sawa na Mama yake mzazi !

Ata bado hakijamaliza adolescense vizuri, nna wasiwasi kama wazazi wake wote wapo.
Na kama wapo nna wasi wasi na sehemu wanayotumia kufikiri kama sio katikati ya mwili upande wa nyuma!

11164836_707611966028012_7924935850240420182_n.jpg

11111781_707611962694679_1203644527876799421_n.jpg
 
Mdogo aseeh, yani hadi anatia hasira kwa kweli, nilimfollow instagram nika munfollow maana anatia hasira tu
 
Tunda ni kitoto kidogo ambae Masogange ni sawa na Mama yake mzazi !

Ata bado hakijamaliza adolescense vizuri, nna wasiwasi kama wazazi wake wote wapo.
Na kama wapo nna wasi wasi na sehemu wanayotumia kufikiri kama sio katikati ya mwili upande wa nyuma!

11164836_707611966028012_7924935850240420182_n.jpg

11111781_707611962694679_1203644527876799421_n.jpg
Aiseeee kuzaa vitoto vizuri kama hivi ni hasara sana, usiombe mtoto mzuri kama huyu awe mwanao.
Kweli kimemaliza hata form 4 hiki kitoto !!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom