Masogange atimuliwa South Africa

Masogange atimuliwa South Africa

Nasikia lulu anataka kupokonywa magari ya aliyohongwa na marehemu yote yarudi kwa mkewe, kumbe diamond nae alipewa lile gari na jeusi BMW na seky, loh mwanaume anapendwa kuhongwa, nasikia na nyumba kamsaidia yeye kujenga Apa nina list ya majina ya waliotoka na marehemu, sio wanawake sio wanaume hadi nabaki mdomo wazi na mdomo wangu unavyonuka sasa sitaki mie, nasubiria umbea wa jioni khaa
mmnh alikua anakula ya kike na ya kiume???sa wamnyang'anye kwani hayajaandikwa jina lake
 
Kuhusu mahusiano na diamond sijui, ila ndo hvyo alikuwa abamfadhili sio yeye watu wengi tu mmmh apo lazima wazimie kwa kweli
 
Nasikia lulu anataka kupokonywa magari ya aliyohongwa na marehemu yote yarudi kwa mkewe, kumbe diamond nae alipewa lile gari na jeusi BMW na seky, loh mwanaume anapendwa kuhongwa, nasikia na nyumba kamsaidia yeye kujenga

Apa nina list ya majina ya waliotoka na marehemu, sio wanawake sio wanaume hadi nabaki mdomo wazi na mdomo wangu unavyonuka sasa sitaki mie, nasubiria umbea wa jioni khaa
Umbea ukiupitisha pm usinisahau maana nina hamu na majina
 
ha ha ha ha warumiii ivue kabisa ili uwe free

Inanibana tu mapumb * naivulia mbali maana naona joto huu umbea nitakufa siku si zangu maana kila sehemu nataka kwenda kupeleka umbea, apa nimeitwa sehemu kibao nipeleke umbea sijui naanzia wapi yarabi mie
 
Kuhusu mahusiano na diamond sijui, ila ndo hvyo alikuwa abamfadhili sio yeye watu wengi tu mmmh apo lazima wazimie kwa kweli

Sasa Diamond si alisema ana billion kwenye acc kashindwa kumalizia nyumba mpaka mwanaume mwenzake aje amsaidie kweli wema kakimbia kwa mengi
 
Wasanii wa bongo wana mambo makubwa hatar, nasikia majiran walikuwa wanajua nyumba ya diamond ni ya seky maana mara nyingi alikua anaenda na mafundi kupeleka vifaa, loh msanii mzima ovyo tu

Ila haijajulikana kama walikuwa wana mahusiano mengine au aliamua kumsaidia kama shabiki tu
 
Hahahahahahah yaleyale ya chief kiumbe
 
Hahahahahahah yaleyale ya chief kiumbe

Mwenzangu mmh, mi nashindwa kumuelewa huyu kaka ake Dinazarde, yani anapenda kuhongwa hatari

Binamu macho yamenivimba apa kwa kulia, toka jana nazimia, mkiona kimya ujue nimeshazimia tena, marehemu alikuwa anataka kunifungulia kampuni ya magazeti ya udaku
 
Last edited by a moderator:
Inanibana tu mapumb * naivulia mbali maana naona joto huu umbea nitakufa siku si zangu maana kila sehemu nataka kwenda kupeleka umbea, apa nimeitwa sehemu kibao nipeleke umbea sijui naanzia wapi yarabi mie
ha ha ha ha unalipwa??? make majungu mtaji....
 
Mwenzangu mmh, mi nashindwa kumuelewa huyu kaka ake Dinazarde, yani anapenda kuhongwa hatari

Binamu macho yamenivimba apa kwa kulia, toka jana nazimia, mkiona kimya ujue nimeshazimia tena, marehemu alikuwa anataka kunifungulia kampuni ya magazeti ya udaku

Pole sana binamu ulizimia mara Ngapi? Usijali utapata mwingine Mabilionea wako wengi
 
Last edited by a moderator:
Mmh jamani acheni uzushi...Seki alimuuzia gari Diamond na sio kumpa bure kama mnavyosema..
Binadamu kiboko nimewavulia kofia kwa Uzushi tu..
anyways R.I.P SEKI.
 
Mwenzangu mmh, mi nashindwa kumuelewa huyu kaka ake Dinazarde, yani anapenda kuhongwa hatari

Binamu macho yamenivimba apa kwa kulia, toka jana nazimia, mkiona kimya ujue nimeshazimia tena, marehemu alikuwa anataka kunifungulia kampuni ya magazeti ya udaku

Mmmmhhhhhhhh mengine wamekudanganyaa banaa nyumba ya daimond na gari kapata kwa pesa yake
 
Last edited by a moderator:
Inanibana tu mapumb * naivulia mbali maana naona joto huu umbea nitakufa siku si zangu maana kila sehemu nataka kwenda kupeleka umbea, apa nimeitwa sehemu kibao nipeleke umbea sijui naanzia wapi yarabi mie

Utasutwa msibani shauri yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom